Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Ndugu mleta mada kama vichwa vyetu vingekuwa vina bast kwa kuzidiwa na mambo tunayo pitia basi huko mitaani kungekuwa kunasikika vishindo vya mipasuko ya vichwa.Habari wanajukwaa
Lengo la uzi ni kutaka kila mwanajukwaa kufunguka kile kigumu anachopitia ili apate Suluhusho iwe
Ugonjwa,mahusiano,changamoto ya kiuchumi,Elimu na jambo lolote ambalo unahis ni gumu kwako.
Funguka wewe usiogope Mungu anaweza kuwa pamoja na wewe Ukapata msaada na kwa yoyote atakayeona post ya mtu anahitaji msaada usiache kusema chochote
Je wewe uko na shida gani..?
Funguka upone
Mahusiano, uchumi, afya , umaskini nk vina tuwazisha sana,sana.