Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Watu wanapitia magumu mengi ila wanashindwa kuweka wazi, kwa sababu wana uhakika hawatopata utatuzi ata wakizielezea hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asantee sana hii naichukua itanisaidiaDaganya akili yako kuwa hudaiwi, Kisha ujasiri utakuja wenyewe.
Jinsi ya kudanganya ni kuacha kuwaza madeni, na kuwaza Kutodaiwa, waza kuwa tayari unapesa nyingi na umelipa madeni yote. Hili linafanyika ukiwa huna chochote kabisa lakini baada ya muda kila kitu kitafunguka.
Wapi ndugu yangu mnyunguliNjoo tule mkali.
Mbona we haujafunguka kwanza?Habari wanajukwaa
Lengo la uzi ni kutaka kila mwanajukwaa kufunguka kile kigumu anachopitia ili apate Suluhusho iwe
Ugonjwa,mahusiano,changamoto ya kiuchumi,Elimu na jambo lolote ambalo unahis ni gumu kwako.
Funguka wewe usiogope Mungu anaweza kuwa pamoja na wewe Ukapata msaada na kwa yoyote atakayeona post ya mtu anahitaji msaada usiache kusema chochote
Je wewe uko na shida gani..?
Funguka upone
Nataka hvy hvyMaisha yako n majuto jutahid usije ukajutia uamuz wako ile ni kaz ngumu kuwa uchi mbele ya watu na wanakupangia faragha na nmna ya kulomba huko ni kubaya sana jaribu njia nyingine
Kaichukue ukae nayoNimempa mama mkwe mimba.
Usichoke mkuu huyapitii ww peke yako lengo la huu uzi ili kila mtu asome tatizo l mtu mmoja uwenda akapata ahueni coz matatizo yanatofautianSikuwahi kujua kama maisha huwa ni magumu kiasi hiki, sikuwahi kujua kama kuna saa unaweza kuona kijani kumbe ni bluu, sikuwahi kujua kama kuoa na kuolewa ndio kupo hivi
Sure ndugu yanguUsichoke mkuu huyapitii ww peke yako lengo la huu uzi ili kila mtu asome tatizo l mtu mmoja uwenda akapata ahueni coz matatizo yanatofautian
..m ni mhitimu wa diploma na nimesharudi nyumban (kwa wazazi) hapa naishi na baba yangu, yeye ni mkulima mkubwa tu yaani namaanisha ni mkulima ambaye anakipato tu kikubwa ,na mimi nahisi naweza nkatumia kilimo kama yeye Ili kupata mtaji na mimi nijiendeleze, shida yangu nashindwa kum"face" Moja kwa Moja kumueleza Hilo wazo langu... Naomba ushauri nianzie wapi ( ni muhitimu diploma in medical laboratory science)Habari wanajukwaa
Lengo la uzi ni kutaka kila mwanajukwaa kufunguka kile kigumu anachopitia ili apate Suluhusho iwe
Ugonjwa,mahusiano,changamoto ya kiuchumi,Elimu na jambo lolote ambalo unahis ni gumu kwako.
Funguka wewe usiogope Mungu anaweza kuwa pamoja na wewe Ukapata msaada na kwa yoyote atakayeona post ya mtu anahitaji msaada usiache kusema chochote
Je wewe uko na shida gani..?
Funguka upone
Ww nikijana mkubwa kwahiyo ukimwambia Baba nashida na Mazungumzo na ww atataka kukusikiliza mueleze kile unachokihitaji kutok kwako au unaweza mwambia kuwa kwa ss hiv unaomba uwe unamsaidia shughuli zake za shamba na pia unaomba na ww katika sehemu atakayolima n ww uwe na sehemu yako ambayo utailima ww kama ww kam ww onesha nia ya kweli katika hicho unachotak kukifanya mm naamin mzazi atakuelew na kukup supportHello
..m ni mhitimu wa diploma na nimesharudi nyumban (kwa wazazi) hapa naishi na baba yangu, yeye ni mkulima mkubwa tu yaani namaanisha ni mkulima ambaye anakipato tu kikubwa ,na mimi nahisi naweza nkatumia kilimo kama yeye Ili kupata mtaji na mimi nijiendeleze, shida yangu nashindwa kum"face" Moja kwa Moja kumueleza Hilo wazo langu... Naomba ushauri nianzie wapi ( ni muhitimu diploma in medical laboratory science)
Kwa nn maisha ni Upuuzi kwenye maisha kuna nyakati tofaut tofaut wakati wa Raha na Uzuni hivyo hatuwez kuwa na Furaha wakati wote na hatuwez kua na Huzuni wakati wote usijakatie tamaaa coz hujui kesho itakuwaje itakuw nzur zaid ya leo au mbaya zaid ya leo ila kikubwa Nyakati nzur na mbaya hazidumu mileleMaisha ni upuuzi ni heri tunaishi mara moja tu
Absolutely, kama vichwa vingepasuka kwa mawazo hakika kila kona ungesikia paaap paap. Uchumi, afya, mahusiano nk vinaumiza watu wengi sana kwa sasa.Ndugu mleta mada kama vichwa vyetu vingekuwa vina bast kwa kuzidiwa na mambo tunayo pitia basi huko mitaani kungekuwa kunasikika vishindo vya mipasuko ya vichwa.
Mahusiano, uchumi, afya , umaskini nk vina tuwazisha sana,sana.