Sema kuna wanaume wanadharau wake zao kupitiliza

Hao ni wakosa shukrani halafu wana wivu balaa
 
Sahii kabsa,
Mwanaume utakiwi kua too nice
Kuna MDA unaamua TU kumzingua wife ajue mipaka yake na mamlaka ulonayo kwake[emoji4]

Kabisa, MWANAUME ni Akili
Hata mke anajiskia yuko protected
Sio mwanaume kila anachosema mke yeye sawa
Hata kama mke ni mwema kutokumuongoza kwa mipaka mtalishwa alicholishwa Adam na kutufanya hadi leo tuteseke😃
 
Kabisa, MWANAUME ni Akili
Hata mke anajiskia yuko protected
Sio mwanaume kila anachosema mke yeye sawa
Hata kama mke ni mwema kutokumuongoza kwa mipaka mtalishwa alicholishwa Adam na kutufanya hadi leo tuteseke[emoji2]
Kweli kabisa,
Mume ukikosa msimamo
Ukiambiwa umelishwa limbwata usibishe[emoji4]
 
ukiona mwanaume anakuwa hivyo, kaa naye pembeni tafuta namna umuulize atakupa majibu mazuri tu.

Pia ujue kuna baadhi ya wanawake, wanaweza wakamtii mtu yeyote isipokuwa mume/mwanaume wake. Yaani unakuta mwanamke amemzoea mume wake kiasi anamuona kama mdogo wake tu na hana maana yo yote kwake. katika mzingira hayo unakuta mwanaume yuko frustrated wakati wote.

....and vice versa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…