Sema kuna wanaume wanadharau wake zao kupitiliza

Sema kuna wanaume wanadharau wake zao kupitiliza

Hao ni wakosa shukrani halafu wana wivu balaa
 
Sahii kabsa,
Mwanaume utakiwi kua too nice
Kuna MDA unaamua TU kumzingua wife ajue mipaka yake na mamlaka ulonayo kwake[emoji4]

Kabisa, MWANAUME ni Akili
Hata mke anajiskia yuko protected
Sio mwanaume kila anachosema mke yeye sawa
Hata kama mke ni mwema kutokumuongoza kwa mipaka mtalishwa alicholishwa Adam na kutufanya hadi leo tuteseke😃
 
Kabisa, MWANAUME ni Akili
Hata mke anajiskia yuko protected
Sio mwanaume kila anachosema mke yeye sawa
Hata kama mke ni mwema kutokumuongoza kwa mipaka mtalishwa alicholishwa Adam na kutufanya hadi leo tuteseke[emoji2]
Kweli kabisa,
Mume ukikosa msimamo
Ukiambiwa umelishwa limbwata usibishe[emoji4]
 
ulioa ili iweje sasa,yaani mi najiuliza sana mtu umemuona ana faa kuwa mke why umdharau??tena unakuta ni hadharani bora iwe mafichoni. Unaenda mbali zaidi unamkalipia mkeo Kama mtoto mdogo aisee.

Uwa nawaona wengi tu hata wake zao wakiwapigia simu yaani jamaa anavyoongea na mke wake kwenye simu kwa kumfokea bila sababu unaweza jiuliza hivi hawa wanaugomvi ama nini hiki.

Basi tuseme uyo mkeo ni mbaya kimatendo siunamuacha uishi kwa uhuru tu. Niseme tu mwanaume anayemdharau au kutoa siri za ndan za mke wake hawezi kuwa rafiki yangu. Kuna jamaa alipoanza tu stori za udhaifu wa mke wake wakat tuko bar, nikajifanya naenda toilet, nikapitiliza mazima bila kumuaga.
ukiona mwanaume anakuwa hivyo, kaa naye pembeni tafuta namna umuulize atakupa majibu mazuri tu.

Pia ujue kuna baadhi ya wanawake, wanaweza wakamtii mtu yeyote isipokuwa mume/mwanaume wake. Yaani unakuta mwanamke amemzoea mume wake kiasi anamuona kama mdogo wake tu na hana maana yo yote kwake. katika mzingira hayo unakuta mwanaume yuko frustrated wakati wote.

....and vice versa
 
Back
Top Bottom