Sema mwenyewe Mjini hapa una Christmas ngapi?

Sema mwenyewe Mjini hapa una Christmas ngapi?

heartbeats

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
6,736
Reaction score
10,669
Yes wazawa na wakuja uzi special Mjini hapa Dar tangia ufike una Christmas ngap
Binfsi jiji hili la dar nina Christmas 24

Aya wewe mwenzangu hadi sasa hii ni Christmas ya ngapi kuwepo jiji hili
 
Litakuja jitu moja kutoka mashariki ya mbali litasema Nina Christmas nyingi alafu tukirudi kwenye uzi wa ajira utalikuta linasema natafuta ajira nimetoka mkoani kigoma baada ya maisha kuwa tough
 
tangu 98 hadi sasa japo kuwa si mkazi wa dar
 
Wazee hizi sio SIFA ZA KIJINGA walizoimba Wagosi Wa Kaya?
 
Back
Top Bottom