heartbeats JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 6,736 Reaction score 10,669 Dec 23, 2024 #1 Yes wazawa na wakuja uzi special Mjini hapa Dar tangia ufike una Christmas ngap Binfsi jiji hili la dar nina Christmas 24 Aya wewe mwenzangu hadi sasa hii ni Christmas ya ngapi kuwepo jiji hili
Yes wazawa na wakuja uzi special Mjini hapa Dar tangia ufike una Christmas ngap Binfsi jiji hili la dar nina Christmas 24 Aya wewe mwenzangu hadi sasa hii ni Christmas ya ngapi kuwepo jiji hili
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 9,679 Reaction score 39,087 Dec 23, 2024 #2 Sisi ambao ndoto zetu siku moja ni kufika Dar acha tutasoma tu comments tuendelee kuwa motivated.
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,104 Reaction score 29,178 Dec 23, 2024 #3 Ngoja makontawa wa mji waje😂😂😂
MENEMENE TEKERI NA PERESI JF-Expert Member Joined Mar 11, 2022 Posts 5,392 Reaction score 14,646 Dec 23, 2024 #4 Litakuja jitu moja kutoka mashariki ya mbali litasema Nina Christmas nyingi alafu tukirudi kwenye uzi wa ajira utalikuta linasema natafuta ajira nimetoka mkoani kigoma baada ya maisha kuwa tough
Litakuja jitu moja kutoka mashariki ya mbali litasema Nina Christmas nyingi alafu tukirudi kwenye uzi wa ajira utalikuta linasema natafuta ajira nimetoka mkoani kigoma baada ya maisha kuwa tough
GenuineMan JF-Expert Member Joined Jun 13, 2017 Posts 6,260 Reaction score 14,470 Dec 23, 2024 #5 Dar ndio wap?
Rhz4567 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2018 Posts 4,893 Reaction score 6,599 Dec 24, 2024 #6 tangu 98 hadi sasa japo kuwa si mkazi wa dar
Chance ndoto JF-Expert Member Joined Mar 8, 2017 Posts 4,363 Reaction score 10,265 Dec 24, 2024 #7 Rhz4567 said: tangu 98 hadi sasa japo kuwa si mkazi wa dar Click to expand... Ni chadema wachache sana ni wakazi wa dar.
Rhz4567 said: tangu 98 hadi sasa japo kuwa si mkazi wa dar Click to expand... Ni chadema wachache sana ni wakazi wa dar.
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 11,075 Reaction score 24,634 Dec 24, 2024 #8 Wazee hizi sio SIFA ZA KIJINGA walizoimba Wagosi Wa Kaya?
Funny boe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2023 Posts 1,319 Reaction score 2,334 Dec 24, 2024 #9 Hii inakuwa ni ya pili
K kadogo2 JF-Expert Member Joined Feb 16, 2024 Posts 1,889 Reaction score 3,059 Dec 24, 2024 #10 Ya 25