Sema parking ya Mond ni kama parking ya Bunge

Sema parking ya Mond ni kama parking ya Bunge

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Aisee hela noma wakuu. Parking ya huyu mtoto mdogo ni kama parking ya bunge

Gari zote za heshima nyingine ukizungusha funguo tu Lita nne za mafuta zinakata

IMG_20200526_204045_072.JPG
 
Aisee hela noma wakuu. Parking ya huyu mtoto mdogo ni kama parking ya bungeView attachment 1460273. Gari zote za heshima nyingine ukizungusha funguo tu Lita nne za mafuta zinakata
Hayo ndio matumizi ya pesa mzee tuombe Mungu na sisi angalau tuwe na hela ya kuajili hotel waiter badala ya beki tatu kwenye nyumba zetu
 
Aisee hela noma wakuu. Parking ya huyu mtoto mdogo ni kama parking ya bungeView attachment 1460273. Gari zote za heshima nyingine ukizungusha funguo tu Lita nne za mafuta zinakata

Hivi mleta mada unapata faida gani kusifia kitu si chako? Hapo Diamond wala hakujuwi na pengine hana kabisa habari nawe, jitahidi na wewe ufanikiwe wacha ujanadume wa Dar, fanya kazi.
 
Back
Top Bottom