Ila bado haifikii bei v8X6 dude la kinyamwezi sana mzee,,Yaani ile gari nikiiona tu.staki kuangalia gari nyingine kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila bado haifikii bei v8X6 dude la kinyamwezi sana mzee,,Yaani ile gari nikiiona tu.staki kuangalia gari nyingine kabisa.
Kwahiyo kwa mond hakuna BMWHonestly nawakubali sana watu wanaojituma na kupata mafanikio, lkn Usupastaa wooote huo ANAENDESHA TOYOTA! Sasa Lusinde aendeshe V8 Mond nae V8 akili ya Manzese bado iko Kichwani huyu!
Hebu nenda kwenye Parking ya Jose Chameleon au Jaguar tu hapo Kenya utakuta Peugot, mi Jeeep,BMW na mikolokolo kama yote mingine ya kistaaa siyo hizo takataka za ASIA. Nawaza kwa sauti tuu lkn.
Wewe yako ya kijana iko wapi? Ukute hata gari ya nyongeza (passo) hujafanikiwa kumiliki unapondea LC200 VX V8!
Hio X6 unayosifia haifikii hata thamani ya hio Prado tu hapo achilia mbali hayo majiko ya V8!
Muonekano wa kinyamwezi,najua bei haifikii V8..Ila bado haifikii bei v8
Atakae kubishia utakuta anamiliki porte maskani yake mak juiceAisee hela noma wakuu. Parking ya huyu mtoto mdogo ni kama parking ya bunge
Gari zote za heshima nyingine ukizungusha funguo tu Lita nne za mafuta zinakata
View attachment 1460273
Huyo hajui kitu kasema X7 sio X6,halafu utakuta maskani yake ni pale mak juice kunywa juice ya buku mbili na selfieWewe yako ya kijana iko wapi? Ukute hata gari ya nyongeza (passo) hujafanikiwa kumiliki unapondea LC200 VX V8!
Hio X6 unayosifia haifikii hata thamani ya hio Prado tu hapo achilia mbali hayo majiko ya V8!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huyo hajui kitu kasema X7 sio X6,halafu utakuta maskani yake ni pale mak juice kunywa juice ya buku mbili na selfie
Hongera sana kama ni za kwake!!!
Unazijua gari za heshima wewe???..
Kuna gari ukae kuanzia asubuhi hadi jioni pale morogoro road huoni unaishia kuiona tu kwenye tv..we hizo prado na land cruiser hata mimi nnazo