MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Hayo ndio matumizi ya pesa mzee tuombe Mungu na sisi angalau tuwe na hela ya kuajili hotel waiter badala ya beki tatu kwenye nyumba zetuAisee hela noma wakuu. Parking ya huyu mtoto mdogo ni kama parking ya bungeView attachment 1460273. Gari zote za heshima nyingine ukizungusha funguo tu Lita nne za mafuta zinakata
Wivu utakuua hamijei mdebwedo.Sifa za kijinga.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Afanye makubwa kwenye game nae azungumziwe na watanzaniaIla g nako Naye msanii wakuu.siku moja moja tumuanzishie Uzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila g nako Naye msanii wakuu.siku moja moja tumuanzishie Uzi.
Mkuu X7 umeiona wapi hapo??bado gari za kizee hizo.
hapo ya kizazi ni hilo x7,akiongezeka mnyama mkali Rr,RR itakiwa cool sana.
Aisee hela noma wakuu. Parking ya huyu mtoto mdogo ni kama parking ya bungeView attachment 1460273. Gari zote za heshima nyingine ukizungusha funguo tu Lita nne za mafuta zinakata
Wewe wivu huna?Hongera zake kijana.