Sema parking ya Mond ni kama parking ya Bunge

Hivi mleta mada unapata faida gani kusifia kitu si chako? Hapo Diamond wala hakujuwi na pengine hana kabisa habari nawe, jitahidi na wewe ufanikiwe wacha ujanadume wa Dar, fanya kazi.
Si jukwaa la celebrity Hili kwahiyo si mbaya alichopost
 
bado gari za kizee hizo.

hapo ya kizazi ni hilo x7,akiongezeka mnyama mkali Rr,RR itakiwa cool sana.
Wewe yako ya kijana iko wapi? Ukute hata gari ya nyongeza (passo) hujafanikiwa kumiliki unapondea LC200 VX V8!

Hio X6 unayosifia haifikii hata thamani ya hio Prado tu hapo achilia mbali hayo majiko ya V8!
 
Wa bongo ujuaji mwingi hata vitz yenyewe Hana zaidi ya kuona kwenye tv au kwenye mitandao ya kijamii alafu anajikuta anajua Sana ukute hapo yupo kwa shemeji anakata chenji anazotumwa dukani.
 
Yani wanaudhi sana, mtu hana muelekeo wa maisha ila still anaponda hustle za vijana wenzie.
Ndo maana wanakuwa hawana Mafanikio kazi kujambajamba tu kwenye masofa ya shemeji na kuiba hela za bando alafu wanakuja huku kutusumbua.
 
Hivi mleta mada unapata faida gani kusifia kitu si chako? Hapo Diamond wala hakujuwi na pengine hana kabisa habari nawe, jitahidi na wewe ufanikiwe wacha ujanadume wa Dar, fanya kazi.
Ume ingia cha kike nini...ili jukwaa nila mambo kama haya kua cerebrity wakushushie nyuzi kama izo

SUBIRI KIDOGO
 
Tunaomba picha ya parking ya bunge
 
Kwa E/Africa Wasanii wa Kenya/Uganda wanajitahidi sana kua car enthusiast na wanakua na Car collection zenye tastes tofauti tofauti ila huku bongo hua tuna amini Toyota ‘V8’ ni kila kitu maishani.

Pongezi kwa bwana mdogo.
 
Wewe yako ya kijana iko wapi? Ukute hata gari ya nyongeza (passo) hujafanikiwa kumiliki unapondea LC200 VX V8!

Hio X6 unayosifia haifikii hata thamani ya hio Prado tu hapo achilia mbali hayo majiko ya V8!
mkuu usiwe standby kushambulia kama dondora.

kwani wewe unayesifia umefanikiwa kumiliki gari gani??hii jf isifanye tukawa wapuuzi kuna maisha nje yake.

mchango wangu haukurenga kukukwaza wewe wala mme wako,bali kumsifu soma kwa utulivu.hiyo bei ya v8 ndoo inayonifanya niamini alikuwa na uwezo wa kununua gari kali zaidi sio hiyo v8,kwani zipo ngapi hapo v8 mkuu,maana naona hata hamfikirii tena.
 
Wa bongo ujuaji mwingi hata vitz yenyewe Hana zaidi ya kuona kwenye tv au kwenye mitandao ya kijamii alafu anajikuta anajua Sana ukute hapo yupo kwa shemeji anakata chenji anazotumwa dukani.
msiojua,sisi ndio tunambadilisha mond.

hamalizi huu mwaka hajanunua gari kali zaidi si,nyinyi wajinga mnaoshindwa nyumbani kwake hapo mkicheza cheza kwenye parking,hamna impact yoyote kwake zaidi ya kutafuta kula kupitia yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…