Sema parking ya Mond ni kama parking ya Bunge

Kwahiyo kwa mond hakuna BMW
 
Hahah, mkuu bwana. Eti Passo ni gari ya nyongeza. Na ist je?
Wewe yako ya kijana iko wapi? Ukute hata gari ya nyongeza (passo) hujafanikiwa kumiliki unapondea LC200 VX V8!

Hio X6 unayosifia haifikii hata thamani ya hio Prado tu hapo achilia mbali hayo majiko ya V8!

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Wewe yako ya kijana iko wapi? Ukute hata gari ya nyongeza (passo) hujafanikiwa kumiliki unapondea LC200 VX V8!

Hio X6 unayosifia haifikii hata thamani ya hio Prado tu hapo achilia mbali hayo majiko ya V8!
Huyo hajui kitu kasema X7 sio X6,halafu utakuta maskani yake ni pale mak juice kunywa juice ya buku mbili na selfie
 
Unazijua gari za heshima wewe???..
Kuna gari ukae kuanzia asubuhi hadi jioni pale morogoro road huoni unaishia kuiona tu kwenye tv..we hizo prado na land cruiser hata mimi nnazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…