sema ukwel uliwashahi kupewa show na hawa jamaaa na uliiifurahia au hukuipenda ....

Kwakwel niliwafurahia walipo mng'ata bro enzi hizo wadogo
Katumwa anikimbiz nilambwe mboko aloooo hahah alikutana nao chini ya michugwa woyooooo walimpa za uso alivimba mdomo ukawa kama tumbua lililotoka jikon
Ikawa pona yangu sasa kila nikimuona nikaukia mbavu maana alipendeza utafikir kaumbiwa nao kumbe nyigu wamempendezesha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Marcy unaroho mbaya
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nyuki n hatar Wala co wa kisport sport
 
Uchungu wa manyigu wanaujua walio kuwa wakichunga ngo'mbe milimani
Usiombe akung'ate kipindi cha jua kali, utaona kichwa kimewaka moto
 
Dondola/Nyigu hao wakikung'ata unapata homa, kwanza lazima ukae,,, Haya Mambo ya Kutafuta Mabibo mashambani nilikutana na hao jamaa.,,, salaaaleee,...!! Niliona rangi zote..,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…