sema ukwel uliwashahi kupewa show na hawa jamaaa na uliiifurahia au hukuipenda ....

Kwakwel niliwafurahia walipo mng'ata bro enzi hizo wadogo
Katumwa anikimbiz nilambwe mboko aloooo hahah alikutana nao chini ya michugwa woyooooo walimpa za uso alivimba mdomo ukawa kama tumbua lililotoka jikon
Ikawa pona yangu sasa kila nikimuona nikaukia mbavu maana alipendeza utafikir kaumbiwa nao kumbe nyigu wamempendezesha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mimi hoi
 
Nilikua namnyandua mamiloo flani ivi kichakani kumbe juu usawa wa kiuno wapo ariff wame'chill,asa ile up and down. iliwaletea njaro wakaona mizinguo,wakanishambulia kwenye kiuno nikawa naongeza speed ya Ku'pump hadi papuchi ya Mamiloo ikachemka,To be honest maumivu nilikua siyaskii zaidi ya kuni'bust tu niongeze speed pale niaje,Ila walipohamia kichwani ndo tulipoteana pale kila mtu na njia ake.ikabidi bao langu nilimalizie bafuni daah.!Walaaniwe sana wale nyigu waduanzi kinyama.
 
Kuna siku nilikuwa na furaha zangu bashsha na mbwembwe kibao ila hawa wadudu waliigeuza huzuni ghafla sitaki hata kusimulia.
 
Nakumbuka nilikuwa na babu yangu shambani tunavuna kahawa njaa ikani tight mi nikajifanya Kangi Lugola nikamtoroka kama nakojoa nikaenda kupanda kwenye mwembe ili nikale sare za polisi! Hawa kina CAG walikuwa juu kwenye tawi la mwembe nami sikuwaona. Mama yangu weeeeeeee! Nilikuja kushtuka mwili mzima unanuka vitunguu nimelazwa kibarazani nipate upepo.
 
Nakumbuka nlikua nachunga zango ng'ombe mida ya saa8 nikasema nipande kwenye muembe nipumzike ile navua kofia kama wananisubiria vile. Nlikula sindano za maana hadi nikaruka kutoka juu ya mti sema haikua juu sana. Siwasahaugi hao viumbe
 
Nakumbuka nilikuwa na babu yangu shambani tunavuna kahawa njaa ikani tight mi nikajifanya Kangi Lugola nikamtoroka kama nakojoa nikaenda kupanda kwenye mwembe ili nikale sare za polisi! Hawa kina CAG walikuwa juu kwenye tawi la mwembe nami sikuwaona. Mama yangu weeeeeeee! Nilikuja kushtuka mwili mzima unanuka vitunguu nimelazwa kibarazani nipate upepo.

Kali sana hii
 
😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Hawa wanapenda sana kukaa kwenye majani ya migomba yaan zamani tukiwa wadogo tunacheza kwenye mashamba ya migomba wametunyoosha sana
 
Nakumbuka nilikuwa na babu yangu shambani tunavuna kahawa njaa ikani tight mi nikajifanya Kangi Lugola nikamtoroka kama nakojoa nikaenda kupanda kwenye mwembe ili nikale sare za polisi! Hawa kina CAG walikuwa juu kwenye tawi la mwembe nami sikuwaona. Mama yangu weeeeeeee! Nilikuja kushtuka mwili mzima unanuka vitunguu nimelazwa kibarazani nipate upepo.
[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom