Sema iyo Muambe ndo nimeielewa zaidiNilikuwa juu ya muambe....walinivamia....bado kidogo tu nianguke...sito wasahau hao
Mimi hoiKwakwel niliwafurahia walipo mng'ata bro enzi hizo wadogo
Katumwa anikimbiz nilambwe mboko aloooo hahah alikutana nao chini ya michugwa woyooooo walimpa za uso alivimba mdomo ukawa kama tumbua lililotoka jikon
Ikawa pona yangu sasa kila nikimuona nikaukia mbavu maana alipendeza utafikir kaumbiwa nao kumbe nyigu wamempendezesha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unataka rangi gani? njano kama ya yangaKwa nin???
Njoo ipake rangi
Mwenyewπππππmwehu wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utafanya watu wajing'atishe aiseeeWanaongeza nguvu za kiume.....
Vinakaa nyuma ya miguu iliyo komaaNdio nini tena hiyo ? Japo sijui ni nini ila sina kwa kweli
Teh teh mti wangu ni mbamia mama hivyo tunda lake sijui kama litakuwa limekomaaVinakaa nyuma ya miguu iliyo komaa
Nakumbuka nilikuwa na babu yangu shambani tunavuna kahawa njaa ikani tight mi nikajifanya Kangi Lugola nikamtoroka kama nakojoa nikaenda kupanda kwenye mwembe ili nikale sare za polisi! Hawa kina CAG walikuwa juu kwenye tawi la mwembe nami sikuwaona. Mama yangu weeeeeeee! Nilikuja kushtuka mwili mzima unanuka vitunguu nimelazwa kibarazani nipate upepo.

ππππππππNakumbuka nilikuwa na babu yangu shambani tunavuna kahawa njaa ikani tight mi nikajifanya Kangi Lugola nikamtoroka kama nakojoa nikaenda kupanda kwenye mwembe ili nikale sare za polisi! Hawa kina CAG walikuwa juu kwenye tawi la mwembe nami sikuwaona. Mama yangu weeeeeeee! Nilikuja kushtuka mwili mzima unanuka vitunguu nimelazwa kibarazani nipate upepo.
[emoji16][emoji16]Nakumbuka nilikuwa na babu yangu shambani tunavuna kahawa njaa ikani tight mi nikajifanya Kangi Lugola nikamtoroka kama nakojoa nikaenda kupanda kwenye mwembe ili nikale sare za polisi! Hawa kina CAG walikuwa juu kwenye tawi la mwembe nami sikuwaona. Mama yangu weeeeeeee! Nilikuja kushtuka mwili mzima unanuka vitunguu nimelazwa kibarazani nipate upepo.