MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,240
Hakuna anafanya ujinga huu duniani kote.Kwa joto la dar huwezi kuvaa nguo ya ndani kwa siku mbili, inabidi kila siku uvae nyingine tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu vipi huko kwako unajua nguo za ndani ? Mada kama kavu sana hiiNgoja wanaovaa waje!!
Kumbe zinafuliwagwa?
😀 mhh!!Vijana bado mnajadili nguo za ndani?! Tuna safari ndefu sana.
Kwa joto la dar huwezi kuvaa nguo ya ndani kwa siku mbili, inabidi kila siku uvae nyingine tu.
Sent using Jamii Forums mobile app