Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujawahi kusikia nini?Hii nayo sijawahi kuisikia aisee. Lol. [emoji848][emoji848][emoji848]
Okay..nimedandia treni kwa mbeleKwani mleta uzi kaandika nini?
Fala ni wewe unaeandika ufala. Wee vp?Acha kusema makabila ya watu we fala
Wewe siyo kunguru tuu ni lindege johnAcha kusema makabila ya watu we fala
Daaa!! kila siku nibadilishe eti chupi tu!! asee!!! wewe utakuwa una fungus sana, muone Daktari mapema, Mwanaume chupi zake ni nyeusi tii au Bhukta red baassi yaani ile mpaka ifuliwe!!! lazima iwe na ukoko!! Mwaka mzima hapo km huna mke,Kwa joto la Dar huwezi kuvaa nguo ya ndani kwa siku mbili, inabidi kila siku uvae nyingine tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli mkuu kabisaa!! mke wangu alini nunulia Kumi!! akaenda kusoma London miaka miwili!!! siku aliporudi nilimkuta anaguna tyuuuu!!! nikamuuliza kulikoni, akasema mbona bado mpya hizi ndude tisa? moja tu ndo imechakaaDaah ila we jamaa umezidi uchafu unayo hyo moja nini mkuu ?nunua hata bukta lijezi la yanga lifanye boxa kama hauna
wote waliosema wanabadilisha kila siku wengi ni waongo narudia acheni uongo labda hyo jinsia nyengine sawa japo sio wote wanabadili kila siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Aha weee!! unapika kabisa na utamu huooooo!! natamani nile chakula chako kila siku!! nadhani kitakuwa kitamu sana sijui kuna nini pale mwanamke akipika uchi msosi huwa mtamu sana jamani chunguzaHaaa, za ndani, mmmh hivi nikisema navaa nikiwa natoka tu humu home sivai nani ataamini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wonders shall not endAha weee!! unapika kabisa na utamu huooooo!! natamani nile chakula chako kila siku!! nadhani kitakuwa kitamu sana sijui kuna nini pale mwanamke akipika uchi msosi huwa mtamu sana jamani chunguza
Binafsi siamini hadi uweke ushahidiHaaa, za ndani, mmmh hivi nikisema navaa nikiwa natoka tu humu home sivai nani ataamini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushahid wenyw unaotaka nahic ni wa picha😂😂Binafsi siamini hadi uweke ushahidi
Umesema ukweli, inapaswa kuwa hivoIn my opinion, no one should not wear underwear for more than one day without washing. It may cause skin rash and infections. Especially when living in hot weather and working outside.
😂😂😂😂😂Ushahid wenyw unaotaka nahic ni wa picha😂😂