Sema ukweli, nguo ya ndani unabadilisha mara ngapi kwa wiki?

Sema ukweli, nguo ya ndani unabadilisha mara ngapi kwa wiki?

Hii nayo sijawahi kuisikia aisee. Lol. 🤔🤔🤔

Au nguo ya ndani inayosemwa hapa sio ninayoidhania mie?
 
Hii ni kwa wanaume wanaovaa nguo za ndani wiki hawafui wakiingia mchezoni huomba kulambwa hata bila kuoga fangasi hazitatuisha wanawake mdomoni tuwe makini na hawa watu shahawa alizomwaga kwa mchepuko plus alizomwaga kwako zimeng ang ana kwenye boxer!!
 
Hivi ndio unamaanisha nguo za ndani ya nchi au!?


Kichwa BoX
 
In my opinion, no one should not wear underwear for more than one day without washing. It may cause skin rash and infections. Especially when living in hot weather and working outside.
 
Kwa joto la Dar huwezi kuvaa nguo ya ndani kwa siku mbili, inabidi kila siku uvae nyingine tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Daaa!! kila siku nibadilishe eti chupi tu!! asee!!! wewe utakuwa una fungus sana, muone Daktari mapema, Mwanaume chupi zake ni nyeusi tii au Bhukta red baassi yaani ile mpaka ifuliwe!!! lazima iwe na ukoko!! Mwaka mzima hapo km huna mke,

siku ya kupiga show!! unaiunganisha na suruali unaipiga chini kwa kuteremsha fyaaa!! kuvaa pia ivo ivo! fyuu faster!! havitenganishwi na suruali!!

lkn km unae mke atafua yeye anapojisikia kufanya ivo!! lkn siyo lazima!! iko hivi naivaa weee!! ikichakaa naitupa motoni, nanunua nyingine ivoivo!! mpaka nilipo oa!! lkn chupi kwa me sio lazima saaana, ya nini kwanza, usumbufu tu!!! kuvaa nguo nyiiingi mweee! Bhukta za Manchester ndani ndo mpango mzima!
 
Daah ila we jamaa umezidi uchafu unayo hyo moja nini mkuu ?nunua hata bukta lijezi la yanga lifanye boxa kama hauna


wote waliosema wanabadilisha kila siku wengi ni waongo narudia acheni uongo labda hyo jinsia nyengine sawa japo sio wote wanabadili kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli mkuu kabisaa!! mke wangu alini nunulia Kumi!! akaenda kusoma London miaka miwili!!! siku aliporudi nilimkuta anaguna tyuuuu!!! nikamuuliza kulikoni, akasema mbona bado mpya hizi ndude tisa? moja tu ndo imechakaa
 
Aha weee!! unapika kabisa na utamu huooooo!! natamani nile chakula chako kila siku!! nadhani kitakuwa kitamu sana sijui kuna nini pale mwanamke akipika uchi msosi huwa mtamu sana jamani chunguza
Wonders shall not end
 
In my opinion, no one should not wear underwear for more than one day without washing. It may cause skin rash and infections. Especially when living in hot weather and working outside.
Umesema ukweli, inapaswa kuwa hivo
 
Mara mbili kwa siku, asubuhi na jioni.
 
Vaa tu kwa siku moja , Ila kama umetoa wazungu kwa bahati mbaya, (au mambo ya kubanana kwenye daladala) badilisha hata mara mbili kwa siku .
 
Back
Top Bottom