Sema ukweli, nguo ya ndani unabadilisha mara ngapi kwa wiki?

Mi kila siku na boxer yake, and zipo 8 hivo bafua maramoja kwa wiki
 
Swali linaloonyesha kiwango cha juu cha upumbavu na mtu mchafu kupindukia.Kwa mtu anaejielewa ni lazima kila siku unaoga asubuhi ukitoka na jioni kabla ya kulala.UNAWEZAJE KWENDA BAFUNI HALAFU UTOKE UJE UVAE NGUO YA NDANI ULIYOSHINDIA MCHANA KUTWA.Wewe jamaa ni Msukuma bila shaka.Swali la kipumbavu sana.
 
Acha ukabila mkuu
 
Acha kusema makabila ya watu we fala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…