mkulu senkondo
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 1,862
- 3,574
Ujue kutembea na wengi na kuwa fundi ni vitu viwili tofauti. Mimi ni fundi coz nmejifunza sana mambo mengi. On top of that hao 11 nilikuwa nakaa na mmoja au wawili kwa muda mrefu, so sijawahi kuwa player kiviiiile.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mh
Nice5 wakizidi sana 6 hata kuanzia mwaka 2008 mpaka sasa hata natamani angekuwa mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mleta mada umenifanya nijione nina hatia moyon mwangu.
Siku zote mimi najiona nmetulia sina mambo ya mademu kiviiile.
Baada ya kuleta hii mada,nikaona nifanye hesabu nitakua nmewala wangap.
Nmehesabu mfululizo mpaka 30,kisha nikajisemea ndo hawa hawa.
Gafla nikakumbuka watano(5),kidogo nikakumbuka tena wengine
Saizi nipo kwenye 50 na bado nakumbuka mdogo mdogo dah nmejichukia sana.
Nikimaliza kukumbuka nafunga hesabu,sili tena aisee
Sent using Jamii Forums mobile app