stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,884
- 4,479
Hebu kuja pm nikupe namba ya kuanzia maisha yako yaliyobakia duniani hadi mbinguni.
Sio kweli. Zinatofautiana. Labda jina ndio moja lakini kiasili ziko tofauti mpk namna zinavyotoa kemikali. Zingne maji mengi, zingne mnato etc. Zingine deep zingne shallow.Tunapotezay mudae tu K ni zile zile tu, hata uwekewe warembo wote duniani usipotosheka hutatosheka
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaroho haswa mkuuWengi huona fakhari sana suala la kuzini.
Ni uasi mbele ya Mola.
Nimeshafikisha miaka 40+ na nina mke ndiye huyo tu ninayemjua kimapenzi.
Sijawahi kuzini na maisha yanaendelea kama kawaida.
Maisha bila uzinifu yanawezekana.
[emoji16][emoji16][emoji16]na mia pia umedanganya. Fanya makadirio. Kuna jamaa angu aliwahesabu akaishia 61 akasema wengine amewasahau. Hivyo tukafanya 80
Sent using Jamii Forums mobile app
Mleta mada umenifanya nijione nina hatia moyon mwangu.
Siku zote mimi najiona nmetulia sina mambo ya mademu kiviiile.
Baada ya kuleta hii mada,nikaona nifanye hesabu nitakua nmewala wangap.
Nmehesabu mfululizo mpaka 30,kisha nikajisemea ndo hawa hawa.
Gafla nikakumbuka watano(5),kidogo nikakumbuka tena wengine
Saizi nipo kwenye 50 na bado nakumbuka mdogo mdogo dah nmejichukia sana.
Nikimaliza kukumbuka nafunga hesabu,sili tena aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni kwel hiz idadi watu wanaandika 30 sjui wangap bas duh,watu wanato.mbana jaman,mi kumbe bado kabsa