Sema ukweli, umewahi fanya mapenzi na wanaume au wanawake wangapi?

Sema ukweli, umewahi fanya mapenzi na wanaume au wanawake wangapi?

Mm toka 2011 aisee sina idadi nimekula papuchi zaidi ya 90 kama so 100 na zaidi maana ilifika kipindi nachapa ilale sirudii saivi kidogo nimetulia na hawa watatu maana kuwa na mmoja siwezi

Sent from my Infinix X571 using JamiiForums mobile app
 
Aiseee[emoji28][emoji28]
Mleta mada umenifanya nijione nina hatia moyon mwangu.
Siku zote mimi najiona nmetulia sina mambo ya mademu kiviiile.

Baada ya kuleta hii mada,nikaona nifanye hesabu nitakua nmewala wangap.

Nmehesabu mfululizo mpaka 30,kisha nikajisemea ndo hawa hawa.
Gafla nikakumbuka watano(5),kidogo nikakumbuka tena wengine

Saizi nipo kwenye 50 na bado nakumbuka mdogo mdogo dah nmejichukia sana.

Nikimaliza kukumbuka nafunga hesabu,sili tena aisee

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inategemeana na umri ulioanza mapenzi, maeneo uloishi, shule au chuo ulosoma, kazi yako na kiwango chako cha uchumi.

kama hujatembea maeneo mengi, huna kazi ya kipato cha kukutosha, hujichanganyi na watu, hujapitia maeneo kama chuo, umeshika dini sana, umekaa kijijini, huna geto lako na umechelewa kuanza mahusiani na umewahi kuoa (umeanza miaka ya karibunu) huezi fikisha idadi kubwa
Kama ni kwel hiz idadi watu wanaandika 30 sjui wangap bas duh,watu wanato.mbana jaman,mi kumbe bado kabsa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukishasema itasaidia nn?

Huku ni kujishushia heshima na kujidhalilisha hakuna ufahari au kusifiwa kuwa mzinifu...
 
164 na huwa natuza kumbu kumbu ya majina na tarehe wengine ambao tulikutana tu kwenye pombe ambao hata muda wakuulizana majina haukuwepo hao huwa na andika #kamboga au #kandezi so nahisi mpaka na huu mwaka uishe ntakuwa nimesogea sogea kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom