Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Bora maza aende kashakula chumvi1. Kila nafsi itaonja umauti
See U
Duuuuuuu.....!Bora maza aende kashakula chumvi
Acha tamaa mkuu! Futa kati ya 1, 2 au 3
Ni wewe bana! Hiyo haina tofauti na wakinga na utajiri wa kafara!"Unachukua bilioni 800, alafu bi mkubwa mnaenda kukutana mbinguni"
Sio mimi lakini!