Sema ulichogundua au kujifunza humu JamiiForums

Sema ulichogundua au kujifunza humu JamiiForums

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hapa si kila mtu alichogundua[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Lol, nakubali ila dizain kama umeniongelea hiviii maana nikiangalia na mimi wa mwaka huu.[emoji23] [emoji23]

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Lol, nakubali ila dizain kama umeniongelea hiviii maana nikiangalia na mimi wa mwaka huu.[emoji23] [emoji23]

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukisikia paaaa[emoji95] [emoji379]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukisikia paaaa[emoji95] [emoji379]
Oppss inakua imenipata au imenikosa hiyo?? lol

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Nilichogundua humu ndani jf watu wapo tayari kueleza hisia zao na changamoto zao zinazo wasibu bila kuficha hata neno moja kuliko kumueleza ndugu, jamaa au rafiki was karibu.

Zipo baadhi ya nyuzi humu ukisoma kwa kutulia utaelewavtu kuwa haya maneno au ujumbe sio rahisi mtu kukaa chini na mpendwa wake wanaojuana na kuanza kumsimulia maana unaambatana na private nyingi sana za mtu binfsi.

Ujasiri huu nimeuona tu jf na sio fb was WhatsApp.

Ikiwa nawewe kuna kitu umejifunza tueleze.
Jf imeporomoka sana sio enzi zile kila Sikh Luna burning issues zinaongelewa,yaani utoto mwingi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah... JF ya sasa siyo kama Ile zamani miaka ya 80s [emoji13] [emoji13]

Sent from my chips yai using JamiiForums Mobile App
 
Nimegundua huku kuna watu wapo kumchunguza mtu fulani kila siku anafanyaje humu JF

Nimejifunza mbinu mbalimbali na stadi za maisha.

Nimeona jinsi watu wanavyobishana kwa hoja

Nimeona baadhi ya watu wanavyopretend maisha

Nimeona baadhi ya watu wenye uthubutu kimaisha na wametusua

Nimeshuhudia watu wanavyoshindwa kudhibiti mihemko yao humu jukwaani

Nimeona baadhi ya watu humu jukwaani wapo kwa ajili ya kukatisha tamaa wengine
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Nimepata faida nyingi saana humu
Na hasa pia ya sim yangu kuisha chaj kila mda nkiingiapo humu

Sent from Calculator Phone vesion007
 
MIMI NIMEGUNDUA MALAIKA WA KUZIMA MTANDAO ANAITAMANI SANA JAMIIFORUMS

PIA, NIMEGUNDUA WANAWAKE WENG WA JF HAWAJAOLEWA
 
Nimejifunza mengi kunawatu huwa wanapunguza mawazo yao humu ndani, wengine ujifanya wajuzi zaida ya wezao kisa hatufahamiani , kuna watu wanapenda kuwakatisha watu tamaa na kuwaambia wakalimie inanipa wasiwasi kuwa hawakupita shule ya msingi Mali utaipata shambani, pia nimejifuza kuzuia asila zako ukiwa jf maana kunawatu wanapenda kujua asili ya MTU kupitia maandishi ya maneno yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom