Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Lol, nakubali ila dizain kama umeniongelea hiviii maana nikiangalia na mimi wa mwaka huu.[emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hapa si kila mtu alichogundua[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukisikia paaaa[emoji95] [emoji379]Lol, nakubali ila dizain kama umeniongelea hiviii maana nikiangalia na mimi wa mwaka huu.[emoji23] [emoji23]
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Oppss inakua imenipata au imenikosa hiyo?? lol[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukisikia paaaa[emoji95] [emoji379]
Hahahahaaa! Sisiemu ni wanga tu. Hawahitajiki sehemu. Ni aibu kujiita mwana JF halafu unaipenda sisiemu. Fadhaa kubwa sana!
Jf imeporomoka sana sio enzi zile kila Sikh Luna burning issues zinaongelewa,yaani utoto mwingi.Nilichogundua humu ndani jf watu wapo tayari kueleza hisia zao na changamoto zao zinazo wasibu bila kuficha hata neno moja kuliko kumueleza ndugu, jamaa au rafiki was karibu.
Zipo baadhi ya nyuzi humu ukisoma kwa kutulia utaelewavtu kuwa haya maneno au ujumbe sio rahisi mtu kukaa chini na mpendwa wake wanaojuana na kuanza kumsimulia maana unaambatana na private nyingi sana za mtu binfsi.
Ujasiri huu nimeuona tu jf na sio fb was WhatsApp.
Ikiwa nawewe kuna kitu umejifunza tueleze.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Nimegundua huku kuna watu wapo kumchunguza mtu fulani kila siku anafanyaje humu JF
Nimejifunza mbinu mbalimbali na stadi za maisha.
Nimeona jinsi watu wanavyobishana kwa hoja
Nimeona baadhi ya watu wanavyopretend maisha
Nimeona baadhi ya watu wenye uthubutu kimaisha na wametusua
Nimeshuhudia watu wanavyoshindwa kudhibiti mihemko yao humu jukwaani
Nimeona baadhi ya watu humu jukwaani wapo kwa ajili ya kukatisha tamaa wengine
Wewe wa jana umejuaje yote hayo? (Bado unaota)[emoji6]Hakika pia nimeona mtu anayecomment kila kitu na vitu vingine bilaa kufikir ili mradi tu
Akikujibu unitag tafadhali...Wewe wa jana umejuaje yote hayo? (Bado unaota)[emoji6]
Rudia tena ili ugundue vizuri asilimia chache sana hizo