Missed u BIG time too wifi darling! Halijaharibika neno,nilikuta sweetie wako ndo anatoka nikamuachia ujumbe. Nimecheza na wapwa zangu nikajihudumia nakuondoka. Maisha ya kiswahili raha kweli.
Shem...............Khaa!
Haya maujiko mpaka mbichwa unataka kupasuka!!
Nadhani Mwali atakuwa amekuelewa!
Bado una mashaka?
You have broken my heart, just there and then!
Jamani si nimesema nataka kuuliza kwanza kabla ya kuamua? ila kusema ukweli he is nice... :A S embarassed:...
Mmmhhh? naona turudi kule PM uliko nitongoza nina maswali nataka kuuliza. Mbona ni kama tuko wengi in the race? embu niangalie tena vizuri, nina ngozi nyororo na tabasam la uhakika, sitaki niwe na makovu ya ugomvi na machozi usoni...Bado una mashaka?
Oh Darllng shem.........forgotten? Am a heart mender! can you say it in a sweet language?Shem if you brake her heart..... Usitake kujua what i am capable of!!!!
Makovu yatatoka wapi? Mie sijui ugomvi najua kubembeleza......Mmmhhh? naona turudi kule PM uliko nitongoza nina maswali nataka kuuliza. Mbona ni kama tuko wengi in the race? embu niangalie tena vizuri, nina ngozi nyororo na tabasam la uhakika, sitaki niwe na makovu ya ugomvi na machozi usoni...