Sema uongo wako tucheke

Sema uongo wako tucheke

Masinki

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Posts
709
Reaction score
478
Uongo wangu kwa siku ya Leo

1. Mimi ndio nimemtuma Mzee wa Magoma wa Yanga aende mahakamani ili tumuondoe Eng Hersi, alafu baadaye nichukue timu.

2. Vijana wa Gen Z Kenya nawalipa ili kisieleweke

3.Nitagombea Urais wa Tanzania 2025

4. Kuanzia leo siogi hadi Kmc awe bingwa NBC.

Sema na wewe
 
CCM huwa hawatumii wizi wa kura kushinda chaguzi by Katibu Mwenezi taifa A.Makalla tarehe za mwezi Julai 2024.
 
ili nicheke hata kiduchu 🤌🏾,, nimeweka na flash yenye videos za Mr bean at least
 
Back
Top Bottom