Semaji la Vital' O achangiwa nauli ya kurudi Burudi

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Semaji la Dunia Arsene Bucuti kumbe nauli ya kurudi kwao Burudi hana, ametia huruma kwa Rais wa Yanga Eng Hersi na wadau wamchangie ili arudi kwao doh! Aibu tupu🙂:Agakakskagesh:

Semaji la Vital'O FC Arsene Bucuti amesema nauli ya kurudi Burundi hana hivyo anatarajia kupewa na Rais wa Yanga Hersi na Watanzania wakaamua kumchangia nauli.
 
Timu yake ya Vital'O ilirudije Burundi?
 
Semaji la Dunia Arsene Bucuti kumbe nauli ya kurudi kwao Burudi hana, ametia huruma kwa Rais wa Yanga Eng Hersi na wadau wamchangie ili arudi kwao doh! Aibu tupu🙂:Agakakskagesh:

Semaji la Vital'O FC Arsene Bucuti amesema nauli ya kurudi Burundi hana hivyo anatarajia kupewa na Rais wa Yanga Hersi na Watanzania wakaamua kumchangia nauli.
🤣🤣🤣 ni Democrecy
 
Burundi maisha ni magumu kichizi yan , Mrundi akipata nafasi ya kuishi Tz ni piece of cake
 
Back
Top Bottom