Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Waendelee kuwa wanajaa hivyohivyo washuhudie tunavyowatatua kama pazia la hekaluKama kawa na chakushangaza wanajua timu yao inauza mechi na bado uwanjani wanajaa.
Ngoja tupate na maoni ya Aden Rage,
CC Aden Rage.
