Semaji la Dunia Arsene Bucuti kumbe nauli ya kurudi kwao Burudi hana, ametia huruma kwa Rais wa Yanga Eng Hersi na wadau wamchangie ili arudi kwao doh! Aibu tupu
🙂
Semaji la Vital'O FC Arsene Bucuti amesema nauli ya kurudi Burundi hana hivyo anatarajia kupewa na Rais wa Yanga Hersi na Watanzania wakaamua kumchangia nauli.