Mheshimiwa hiyo jina ya sembe/dona chapa ya jajojo inayotengenenwa na jajojomills. Ushauri wako umefika kwa wahusika.Duuu unga kuitwa jajojo! Kama jina la peremende vile. Usibanie pesa waone wataalamu wa marketing wakusaidie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mheshimiwa huwezi kuuza bidhaa ya chakula bila kupitishwa na waheshimiwa hao. Your concern is appreciated.
mheshimiwa jaribu kuwa muungwana, heshimu kazi za watu.
Ulipaswa kutuaminisha kwenye sredi tusikie kwamba TBS na TFDA wameiapprove Jajojo kama ni kweli hebu edit sredi otherwise unaogopa kufungwa.mheshimiwa jaribu kuwa muungwana, heshimu kazi za watu.
Jajojo sembe/dona ikoapproved, ndio maana tuko sokoni. Jaribu kuwa muungwana heshimu kazi za watu.Ulipaswa kutuaminisha kwenye sredi tusikie kwamba TBS na TFDA wameiapprove Jajojo kama ni kweli hebu edit sredi otherwise unaogopa kufungwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mim ni mdau mkubwa sana wa dona hebu fanya kutuma picha pakti yake tuoneJajojo sembe/dona ikoapproved, ndio maana tuko sokoni. Jaribu kuwa muungwana heshimu kazi za watu.
Mheshimiwa tafadhali ukipata nafasi pitia tuvuti yetu ina picha zetu.Mim ni mdau mkubwa sana wa dona hebu fanya kutuma picha pakti yake tuone
Sent using Jamii Forums mobile app
Mheshimiwa kwanza napenda nikushukuru kwa mojo wa ushujaa! ushauri wako na mawazo yako yamefika. unahitajika sana kwenye taifa letu. Endelea kuwa na moyo huo.uandishi wako umejaa Story zisizo na umuhimu katika marketing na lugha isiyoeleweka kwa wanunuzi. pia kuandika kiswanglish. bora basi andika kiswahili na tafsiri kwa english. hapo mwanzo nimeangalia sioni sembe au hiyo njano ndo sembe?
View attachment 560260
Hii storage system hapo chini tafadhari usiioneshe kwa wateja, hata magunia ya dagaa hayapangwi hivyo sembuse unga wa kula bila kuosha. umesema una vibali vya TBS na TFDA sidhani kama hata bwana afya wa halmashauri walitembelea godown lako wakakuta umepanga hivyo na wakakupa kibali. Ngoja nieendelee kuchungulia pengine ntaiona nembo ya TBS.
Hivi kweli hujui kuwa roba kukaa sakafuni na kugusa ukuta linapenyeza unyevunyevu unaosababisha kupungua ubora wa bidhaa na kupelekea kuishi wadudu hata sumu kuvu??
View attachment 560257
Unrelated issues. Kama unafadhili timu au kama wafanyakazi wako ndio wanatimu, nadhan haya na mambo yote yanahusu kujitolea katika jamii yakae kwenye sehemu maalumu ya "CSR'' tafuta kiswahili chake.
Nembo iliyoko kwenye mifuko ya unga haionekani popote kwenye website na hivyo kuleta hisia kuwa aliyetengeneza mfuko alijiwekea yeye ama aliyetengeneza website hakujiongeza kuweka nembo ya kampuni.
View attachment 560259
MWISHO;
Wazo la kuwa na website lilikuwa zuri lakini aliyetengeneza hana uzoefu na hajiongezi.
Mheshimiwa punguza hasira! biashara ni matangazo! kuwa muungwana! tupo pamoja kujenga taifa letu.upo siriaz ? umeshindwa kuweka bei na location ? unalazimisha tufungue web yako ? nani ana mda huo ? huo unga utakula na mkeo !
kwanza unatakiwa ule ban, sheria za jf haziruhusu kuweka link hapa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unaanza kubishana na kugombana na wateja mtandaoni je ana kwa ana itakuwaje?!kweli mjinga hataki kusoma! ondoa ujinga soma sites mbali mbali utajifunza vitu.