Sembe kilo imefika 1800 kwa sasa tutashaa

Sembe kilo imefika 1800 kwa sasa tutashaa

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
25,190
Reaction score
27,434
Na huko katavi nimesikia gunia la mahindi ni 80000 kitu ambacho hata wakulima wa huko huko nao wanashangaa..
Narudia kusema tutashaa..
 
mi sinunui kilo wala gunia wala debe

nusu tu inantosha mchana na usiku

900 yangu aaaaah sina shida

wao waktaka kilo ifike hata 5000

nusu mimi 2500 tu inantosha
 
Na huko katavi nimesikia gunia la mahindi ni 80000 kitu ambacho hata wakulima wa huko huko nao wanashangaa..
Narudia kusema tutashaa..
Hamna rangi mtaacha kuona.

Na mkumbuke mfumuko wa bei umeshuka to the record low level sasa ole wake NBS waseme bei ya sembe imepanda. Nitaanza na shangazi zao
 
Cha ajabu mahindi hapa Dar bado ni 82000 hadi 85000 kwa soko la Tandale.
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
mi sinunui kilo wala gunia wala debe

nusu tu inantosha mchana na usiku

900 yangu aaaaah sina shida

wao waktaka kilo ifike hata 5000

nusu mimi 2500 tu inantosha
 
Ukisharuhusu soko huria la vyakula hasa Mahindi, Maharange nk basi wa kuumia ni watu wa hali ya chini....sasa hivi watu wanalalia uji na bado kuna uwezekano wa kula pumba. Yaani vyakula vipo ila hela hawana.

watu wa hali ya juu na kati hata hawajui bei ya unga ni nini? kweli duniani hapa jamani hakuna usawa kabisa.
 
Mwezi uliopita sembe 25kg ilikuwa ni 24-26,bt ndani ya wiki mbili tu mpk sasa imepanda mpk 33 elfu.
 
unaishi mjini tena dar unalia eti kilo ya unga sh 1800, tena nataka ifike elfu 10 kila mtu arudi kijijini akalime
 
Huo sio mfumuko wa bei bali kupanda kwa bei tu. Mfumuko unaenda sawa tu na hela yetu inapanda bei. Kuipata ndio shida. Mtapandisha bei hadi muishushe kwa kuwa bei hupandishwa na mfuko sio maneno
 
Na siku umekosa kabisa hiyo hela ya kununulia unataishije
mi sinunui kilo wala gunia wala debe

nusu tu inantosha mchana na usiku

900 yangu aaaaah sina shida

wao waktaka kilo ifike hata 5000

nusu mimi 2500 tu inantosha
 
Yaani bado kidogo tuanze kula mlo mmoja kwa siku 2
Hamna rangi mtaacha kuona.

Na mkumbuke mfumuko wa bei umeshuka to the record low level sasa ole wake NBS waseme bei ya sembe imepanda. Nitaanza na shangazi zao
 
Back
Top Bottom