Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna rangi mtaacha kuona.Na huko katavi nimesikia gunia la mahindi ni 80000 kitu ambacho hata wakulima wa huko huko nao wanashangaa..
Narudia kusema tutashaa..
mi sinunui kilo wala gunia wala debe
nusu tu inantosha mchana na usiku
900 yangu aaaaah sina shida
wao waktaka kilo ifike hata 5000
nusu mimi 2500 tu inantosha
Nimeona channel 10 tunapeleka zimbabwe jumla tani elf 17...Na hapa ndio mlikatazwa kuuza mahindi,sijui mngeruhusiwa tokea mwanzo hali ingekuwaje??
Eee acha ziende si mlikua nmapiga kelele muuze nje?Nimeona channel 10 tunapeleka zimbabwe jumla tani elf 17...
Haya ndo mawazo ya Watanzania almost 90% Hivo unadhani dunia ya sasa inategemea kilimo tu?!?unaishi mjini tena dar unalia eti kilo ya unga sh 1800, tena nataka ifike elfu 10 kila mtu arudi kijijini akalime
Na Leo kasema "KIDUMU CHAMA DUME"Na huko katavi nimesikia gunia la mahindi ni 80000 kitu ambacho hata wakulima wa huko huko nao wanashangaa..
Narudia kusema tutashaa..