- Thread starter
- #21
Punguza hasira Shekh unasort of phobic juu ya hawa ngozi nyeupe sio kila kitu kigeni maana yake ni chakwao hivi vitu vilikuwa way before kawaulize wamasai Morans kabla ya kwenda kwenye mapambano wanatakiwa kufanyaje kuhusu ngono, msikilize Usain bolt, Mike Tyson walikuwa wanakaa mda gani bila kukutana kimwili ni vitu vipo tusiwe wakahidi namna hii kuelewa na kuelimika.. Enjoy your weekend mzee lakini practice hii kitu and see how things change around you(Physical and Mental)Hio sio nature yako...utapoteza muda tu......kuna mambo angalia kwanza background yako.......watu wana copy sana haya mambo ya ngozi nyeupe wakati mtu mweusi ana njia zake na ana nguvu zaid ya hao weupe ndo maana jamaa wanakuaga na natural hate na mtu mweusi sababu ukweli wanaujua.......fata hayo yote kuna sehem utaishia ......ila ukisema ufate nature yako kama mtu mweusi unaweza fika mbali zaidi