Semen Retention (Road to Alpha Male)

Punguza hasira Shekh unasort of phobic juu ya hawa ngozi nyeupe sio kila kitu kigeni maana yake ni chakwao hivi vitu vilikuwa way before kawaulize wamasai Morans kabla ya kwenda kwenye mapambano wanatakiwa kufanyaje kuhusu ngono, msikilize Usain bolt, Mike Tyson walikuwa wanakaa mda gani bila kukutana kimwili ni vitu vipo tusiwe wakahidi namna hii kuelewa na kuelimika.. Enjoy your weekend mzee lakini practice hii kitu and see how things change around you(Physical and Mental)
 
Labda niwe na sababu maalum ya kufanya hivo ila kwa maisha ya kila siku siwezi fanya hayo madude ntaendelea tu na kemetic meditation furesh kabisa......hao wote uliotolea mfano walikua na lengo maalum la kufanya hivyo .......ila kwa maisha ya kawaida ya kila siku utakua mwehu tu......sina phobia na hao watu ila nawachukia kwa uongo wao mwingi.....phobia is fear na sina kitu kama hiko juu ya hao watu labda useme hate hapo sawa
 
Unawezaje meditate vizuri bila retention za izo mizigo shekh?
 
Unawezaje meditate vizuri bila retention za izo mizigo shekh?
Tena meditation za huku unakula mzigo ukizielewa zina nguvu sana........ndo maana watu wanasema kile kitendo ni ibada pia....ndo maana lazima uwe muangalifu sana na mtu unaefanya nae
 
Tena meditation za huku unakula mzigo ukizielewa zina nguvu sana........ndo maana watu wanasema kile kitendo ni ibada pia....ndo maana lazima uwe muangalifu sana na mtu unaefanya nae
[emoji23] [emoji23] Meditation gani hiyo tafsiri ya meditation is to keep your mind clear from any obstacles dhumuni likiwa ni kuwa connected na mother nature(Universal) sasa unafanya hivo na machine imesimama? [emoji848]
 
Kama unaamini walijenga zile pyramids baada ya kupeleka moto haya. [emoji23]
Hayo yote soma humo utayaelewa......ndo hayo unaleta kanisa unamwambia mtu kua padri usioe .......hayo wanayaweza wao tu maana vinguvu vyao vya kupeleka moto dhaifu mtu anaweza akakaa hata miaka bila kushtua mzigo na akawa kawaida tu........wewe mmatumbi mwenzangu utaishia kuleta vituko tu.............hio nguvu ya kupeleka moto ndo life force yenyewe ukiitumia vizuri kwenye meditation hayo ma retention utaona upuuzi tu wa hao weupe
 
Kuna mahala nilisomaga wanaume wanakulaga hizo vitu.. Nikajicomentiaga "Ukisikia chanzo cha mambo ya kishetwani ndio haya sasa"
Hahahahaha hapana mama D, shida Mimi nikutanza(ga) ugwadu kwa miezi nashangaa jinsia ya me wanaanza kuniangalia na kujichekesha, kuanzia mama wa kigenge cha jirani hadi boss wangu, sasa shida yote ya nini hii!
 
Acha hayo mambo NdebileπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
A fool will just be an asshole but will claim that is the alpha male way.
 
Hahahahaha hapana mama D, shida Mimi nikutanza(ga) ugwadu kwa miezi nashangaa jinsia ya me wanaanza kuniangalia na kujichekesha, kuanzia mama wa kigenge cha jirani hadi boss wangu, sasa shida yote ya nini hii!
Jinsia ya Me inakuangalia kwa kujichekesha au siyo?
 
What do you mean by " SEMEN RETENTION"? and in what period of time does this RETENTION take place? minutes, hours, days, months, years, or infinity?

Sent using Jamii Forums mobile app
You can put it as a way of increasing your energy inform of spiritual, physical and mental by controlling your semen. How long? That depends on what you're purpose are? Would put fasting on the same menu but different. Wisely make it a life style to achieve the best manhood.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…