kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Nimesikitishwa Sana Kusikia eti Simba imeifunga timu ya Madrasa huko Tunisia CS Sfaxien...! Hawa jamaa ni Mabingwa mara nne wa michuano ya CAF miaka ya karibuni.
Hawa wanaosema hivyo, ndo Wale wale Waliosema mmenunua Ugomvi na watunisia mkienda kwao Kisasi kinawahusu.
Sasa toeni Kauli moja...Bravo anajiweza ama La , ili Watu wajue Wanampasua mtu wa namna gani.Kupasuka Lazima apasuke.!