Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Sasa hata sisi kimahesabu robo tushafika. Kwa hilo tumemaliza mjadalaRobo tayari, kimahesabu ukikusanya points 9 makundi Watake Wasitake Robo ushafika wewe kukusimamisha ni Robo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hata sisi kimahesabu robo tushafika. Kwa hilo tumemaliza mjadalaRobo tayari, kimahesabu ukikusanya points 9 makundi Watake Wasitake Robo ushafika wewe kukusimamisha ni Robo
Eti miaka ya hivi karibuni...!! Nyie si ndo mlisema Mazembe hiii si ileeee..!!! Ile timu fasheni haina pointi hata moja na inashika mkia si wapo tu mochware wale..!!Nimesikitishwa Sana Kusikia eti Simba imeifunga timu ya Madrasa huko Tunisia CS Sfaxien...! Hawa jamaa ni Mabingwa mara nne wa michuano ya CAF miaka ya karibuni.
Hawa wanaosema hivyo, ndo Wale wale Waliosema mmenunua Ugomvi na watunisia mkienda kwao Kisasi kinawahusu.
Sasa toeni Kauli moja...Bravo anajiweza ama La , ili Watu wajue Wanampasua mtu wa namna gani.Kupasuka Lazima apasuke.!
Usijisahaulishe, kipimo cha taifa kwenye hilo kombe ni kufika FAINALIRobo tayari, kimahesabu ukikusanya points 9 makundi Watake Wasitake Robo ushafika wewe kukusimamisha ni Robo
Unabishana na ali komwe?Hakuna timu itayoweza kufuzu bila kikokotoo, hapo nyie mnaposema mnahitaji point mooja ili mfuzu mmetumia nini zaidi ya kikokotoo? Waliokata tiketi hadi sasa ndio pekee hawaangaiki na kikokotoo kwasasa
Hakuna anayebishana naye...Unabishana na ali komwe?
Nabishana nae ndio kwani Yanga msimu uliopita kafuzu robo fainali kwa kupata alama 9 za nyumbani? Simba ilikuwa kundi moja na Raja Casablanca je waliweza kupata alama 9 za nyumbani?Unabishana na ali komwe?
Robo tayari, kimahesabu ukikusanya points 9 makundi Watake Wasitake Robo ushafika wewe kukusimamisha ni Robo
Kimahesabu ni sawa lakini kumbuka mpira unadunda unaweza ukakwamia kwenye pointi 9,Enzo Bravo ana alama 6 akikupiga jumapili unabaki na alama zako 9,game ya mwisho hiyo ni hesabu nyingine na itategemea na matokeo ya waarabu yatakavyokuwaRobo tayari, kimahesabu ukikusanya points 9 makundi Watake Wasitake Robo ushafika wewe kukusimamisha ni Robo
Hii ipeleke pale salamander atakujibu vizuriNabishana nae ndio kwani Yanga msimu uliopita kafuzu robo fainali kwa kupata alama 9 za nyumbani? Simba ilikuwa kundi moja na Raja Casablanca je waliweza kupata alama 9 za nyumbani?
Hakuna Tim ya kuifung Simba bao3Hapo hamtoboi mtapigwa 3 bila huko Angola
Umepiga kwenye bandama akicheka nistue tumchomoe koromeoHilo kombe la mchangani ndilo lililowafanya mkavaa shanga shingoni mnazotamba nazo kila siku. Huko CAFCL Simba ni nyumbani labda nyie wageni wa hayo mashindano ndio mnaona kitu cha ajabu Sana.
Aliyekuambia hatashindwa ni nani? Mbumbumbu kushindwa ni kawaida..!!Simba njia ni nyeupe. Akishindwa ni ujinga wake mwenyewe
Eti nyumbani halafu hauwezi ingia kucheza na yeyote huko unakokuita nyumbani..!! We endelea na kombe la wamama..!!Hilo kombe la mchangani ndilo lililowafanya mkavaa shanga shingoni mnazotamba nazo kila siku. Huko CAFCL Simba ni nyumbani labda nyie wageni wa hayo mashindano ndio mnaona kitu cha ajabu Sana.
Kumbe bravos na fukshien unawajua hadi kwa majina hongera sanaKuna watu wanafuatilia hiyo Ligi ya shirikisho?? Hao Bravos sijui Fu*kshien wanacheza Ligi daraja la ngapi huko?
Wewe babako ni shabiki wa Simba lialia...HIVI KUNA MTU ANAJIELEWA KABISA AKAACHA SHUGHULI ZAKE AKAKAA KUFUATILIA/KUANGALIA HILO KOMBE LA MCHANGANI?