kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
HIVI KUNA MTU ANAJIELEWA KABISA AKAACHA SHUGHULI ZAKE AKAKAA KUFUATILIA/KUANGALIA HILO KOMBE LA MCHANGANI?Nimesikitishwa Sana Kusikia eti Simba imeifunga timu ya Madrasa huko Tunisia CS Sfaxien...! Hawa jamaa ni Mabingwa mara nne wa michuano ya CAF miaka ya karibuni.
Hawa wanaosema hivyo, ndo Wale wale Waliosema mmenunua Ugomvi na watunisia mkienda kwao Kisasi kinawahusu.
Sasa toeni Kauli moja...Bravo anajiweza ama La , ili Watu wajue Wanampasua mtu wa namna gani.Kupasuka Lzm apasuke.!
Hilo kombe la mchangani ndilo lililowafanya mkavaa shanga shingoni mnazotamba nazo kila siku. Huko CAFCL Simba ni nyumbani labda nyie wageni wa hayo mashindano ndio mnaona kitu cha ajabu Sana.HIVI KUNA MTU ANAJIELEWA KABISA AKAACHA SHUGHULI ZAKE AKAKAA KUFUATILIA/KUANGALIA HILO KOMBE LA MCHANGANI?
Ukweli mtupu kwa washambaHilo kombe la mchangani ndilo lililowafanya mkavaa shanga shingoni mnazotamba nazo kila siku. Huko CAFCL Simba ni nyumbani labda nyie wageni wa hayo mashindano ndio mnaona kitu cha ajabu Sana.
Nimesikitishwa Sana Kusikia eti Simba imeifunga timu ya Madrasa huko Tunisia CS Sfaxien...! Hawa jamaa ni Mabingwa mara nne wa michuano ya CAF miaka ya karibuni..!
Umeona aibu kusema ni mabingwa wa CAF confederation cup unasema tu mabingwa wa CAF wakati CAF ina michuano miwili tofauti.
Umeona aibu kutaja mara ya mwisho kubeba hilo kombe ni mwaka 2013, na mara ya mwisho kufanya vizuri klabu bingwa ni meaka 2016. Na ukashindwa hata kuonesha michezo mitano ya mwisho kwenye ligi yao wameambulia matokeo ya aina gani.
Na la mwisho ni kwamba katka hii michuano ya CAF msimu huu ( champions league na confederation cup) ni CS Sfaxien peke yake ndio timu yenye point 0 hadi sasa. Ndio timu mbovu katoka msimu huu kuliko timu zote View attachment 3195281
Ni timu mbovu ndio maana Constantine kaweza kumfunga magoli mengiHaya sawa, tuseme ulichoandika ni sawa, Wewe topolo embu sema Sasa kumuhusu Huyu Bravo ...! Kabla Sijamgeuzia Kibra...!
Vilio vya Pipa rafiki yake mfuniko hatutaki..!
Umeandika haya ukiwa na kikokotoo cha kundi lenu au?Ni timu mbovu ndio maana Constantine kaweza kumfunga magoli mengi
Hakuna timu itayoweza kufuzu bila kikokotoo, hapo nyie mnaposema mnahitaji point mooja ili mfuzu mmetumia nini zaidi ya kikokotoo? Waliokata tiketi hadi sasa ndio pekee hawaangaiki na kikokotoo kwasasaUmeandika haya ukiwa na kikokotoo cha kundi lenu au?
Kwani Yang'a amewahi kulichukuaUmeona aibu kusema ni mabingwa wa CAF confederation cup unasema tu mabingwa wa CAF wakati CAF ina michuano miwili tofauti.
Umeona aibu kutaja mara ya mwisho kubeba hilo kombe ni mwaka 2013, na mara ya mwisho kufanya vizuri klabu bingwa ni meaka 2016. Na ukashindwa hata kuonesha michezo mitano ya mwisho kwenye ligi yao wameambulia matokeo ya aina gani.
Na la mwisho ni kwamba katka hii michuano ya CAF msimu huu ( champions league na confederation cup) ni CS Sfaxien peke yake ndio timu yenye point 0 hadi sasa. Ndio timu mbovu katoka msimu huu kuliko timu zote View attachment 3195281
Timu zote za CAF Confederation ni bomu mochwari, hakuna jipya hapoSasa toeni Kauli moja...Bravo anajiweza ama La , ili Watu wajue Wanampasua mtu wa namna gani.Kupasuka Lazima apasuke.!
Ni kweli,ndo maana mlifika fainali mkatolewaTimu zote za CAF Confederation ni bomu mochwari, hakuna jipya hapo
Ndio ni kweli. Hivyo na nyie muhakikishe mnafikaNi kweli,ndo maana mlifika fainali mkatolewa
Jitahidini mfike robo club bingwaNdio ni kweli. Hivyo na nyie muhakikishe mnafika
Kwani nyie mshafika robo huko Conferation?Jitahidini mfike robo club bingwa
Kwani nyie mshafika robo huko Conferation?