hahahaa kama una utani na yule Jamaa wa magogoni useme aiseeekuna mzee Juma.angekuwepo hapo.wangembeba na machela.
Hahaha!zitakoseje kukata kona mkuu wakati macho yashapata kengeza.Alafu wakipiga risasi juu zinakata kona.
Mimi ningefungua baa hapohapo, napanga viti, meza, miamvuli nabiga biz fasta.duh ningekuwa karibu zingenikoma hizo bia
Semi la bia limeanguka maeneo ya Ruaha Iyovi. Wanabeba bia kwa makreti na viroba kwa bodaboda na miguu. wengine wamelewa wapo hoi wanayumbayumba tu. polisi wamefika na gari ndogo nao naona wameweka kreti mbili kwenye. buti.
Hawapige picha maafande tena we umtakii mema mwenzioHii habari bila picha haiwezi ikanoga wallah....[emoji12] [emoji12]
Ebu hakikisha unatupia hiyo picha ya maafande walio jisevia kreti na hao raia wanao pombeka
Kwann limeangukia porini huko na si mjiniSemi la bia limeanguka maeneo ya Ruaha Iyovi. Wanabeba bia kwa makreti na viroba kwa bodaboda na miguu. wengine wamelewa wapo hoi wanayumbayumba tu. polisi wamefika na gari ndogo nao naona wameweka kreti mbili kwenye. buti.
Hawajaanza kuimba mapambio? Mwaka jana ilitokea Boko vijana walikesha na kushinda hapo kwa siku 3 waliitana toka pande mbalimbali za jiji walivyolewa wakaanza kuimba pambio, polisi nao wakapiga kambi hapo hapo
Jitahid upate walau picha kwanza,, nataman kuona hizo kret mbili kwenye hyo gari ndogo ,,,
Je siyo NISSAN NYEUPE????
Ukifanikiwa kupata picha itajieleza yote hayo