Tetesi: Semi La Bia Lapata Ajali Ruaha

Tetesi: Semi La Bia Lapata Ajali Ruaha

lingekuwa semi limeanguka lililobeba mbwa wengi najaribu kuwaza siju kungetokea nini?
 
Semi la bia limeanguka maeneo ya Ruaha Iyovi. Wanabeba bia kwa makreti na viroba kwa bodaboda na miguu. wengine wamelewa wapo hoi wanayumbayumba tu. polisi wamefika na gari ndogo nao naona wameweka kreti mbili kwenye. buti.

Na nijuavyo hata Wanyama hasa Simba ( siyo ile ya Okwi na Boko ) huwa wapo wengi sana hapo na mida yao hasa kutembelea hayo maeneo huwa ni kuanzia Saa Tisa ( 9 ) alasiri mpaka Saa Kumi na Moja ( 11 ) hivyo wajitahidi walewe haraka kisha waondoke hapo kabla hawajafanywa ' Kitoweo ' cha Siku.
 
Kuna siku litaaanguka roli limebeba kemikali watu watagida wakidhani vinywaji laini..
 
Hii habari bila picha haiwezi ikanoga wallah....[emoji12] [emoji12]
Ebu hakikisha unatupia hiyo picha ya maafande walio jisevia kreti na hao raia wanao pombeka
Hawapige picha maafande tena we umtakii mema mwenzio
 
Nimekumbuka 2009 kuna ambalo lilianguka barabara ya moshi-arusha nusu ya bia zote chupa zilipasuka
 
Semi la bia limeanguka maeneo ya Ruaha Iyovi. Wanabeba bia kwa makreti na viroba kwa bodaboda na miguu. wengine wamelewa wapo hoi wanayumbayumba tu. polisi wamefika na gari ndogo nao naona wameweka kreti mbili kwenye. buti.
Kwann limeangukia porini huko na si mjini
 
Hawajaanza kuimba mapambio? Mwaka jana ilitokea Boko vijana walikesha na kushinda hapo kwa siku 3 waliitana toka pande mbalimbali za jiji walivyolewa wakaanza kuimba pambio, polisi nao wakapiga kambi hapo hapo

Yaani ni nomaaa
 
Jitahid upate walau picha kwanza,, nataman kuona hizo kret mbili kwenye hyo gari ndogo ,,,

Je siyo NISSAN NYEUPE????

Ukifanikiwa kupata picha itajieleza yote hayo

Kumbe mnajuaga mipaka eeeeee!!! Hahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom