Tetesi: Semi La Bia Lapata Ajali Ruaha

Nimekumbuka 2009 kuna ambalo lilianguka barabara ya moshi-arusha nusu ya bia zote chupa zilipasuka
kuna la viroba lilianguka mpkani mwa wilaya ya hai na siha mbele kidogo ya machinjio ya wilaya ya hai ilikuwa ni balaa tupu
 
sababu ni biashara haramu bora hata limeanguka
Haramu!! Unajua gharama ya kuendesha depot ya bia wewe? Au unadhani ni carton za yeboyebo eee? Hapo imeanguka kama milioni 50+ hivi au 60+, watu wanajipatia kipato kwa ajili ya bia na wanalipa kodi.
 
Haramu!! Unajua gharama ya kuendesha depot ya bia wewe? Au unadhani ni carton za yeboyebo eee? Hapo imeanguka kama milioni 50+ hivi au 60+, watu wanajipatia kipato kwa ajili ya bia na wanalipa kodi.
Tulia wewee mwanajeshi uchwara wa ngerengere.

Unashangaa million 50 tuu wee vipi
 
Mwaka jana hapo hapo Iyovi nilikuta lori la bia limepiga chini duh wale jamaa wanasema kama mnaweza bebeni tu ila bahati mbaya tulikua na gari la serikali na wanainchi walivyo wanoko nikamuambia dereva vunga tutaharibu vibarua vyetu ila hapo koo linawasha vibaya nikagonga kadhaa tukatembea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…