Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wana JF naomba kuuliza;
-Malengo/shabaha za semina elekezi kwa watumishi wa serikali kule Ngurdoto zilikuwa nini?
-Mpaka sasa tunaweza kufanya tathmini yoyote kupima kama malengo hayo yamefikiwa au la? Na kama hayajafikiwa ni kwa nini?
Matokeo yapo wazi, Muulize waziri Sophia Simba atakupa tathmini!Wana JF naomba kuuliza;