Semina ya waamuzi wa NBC Premier League

Semina ya waamuzi wa NBC Premier League

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,855
Reaction score
189,385
Habari,

Semina ya waamuzi wa NBC Premier League Tanzania Imeanza leo kama ambavyo ilivyoelekeza TFF. Semina hiyo itachukua siku tatu na hapa chini ni baadhi ya picha ya Matukio yanayoendelea kwenye semina hiyo.

azamsports2-20220215-0008.jpg
View attachment 2120008
 
Washenzi sana hao. Hakuna kitu hapo. Njaa tupu.

Lile jinga liloihujumu Yanga liko wapi?
Kuna lile la penalti ya mchongo dhidi ya Prisons na goal la mchongo dhidi ya Mbeya kwanza.
Hahahaha.

Mkuu Kama Zimeanza Semina Basi Hata Posho Na Masirahi Yao Yataanza Kutazamwa Vyema Tupige Moyo Konde.
 
[emoji419][emoji419][emoji419]
Hakuna haja ya semina. TFF waajiri waamuzi rasmi kwamba:-

Waamuzi Waache ajira zao walizonazo kama uaskari, ualimu.

TFF wawalipe mshahara wa 800,000/= kwa mechi moja akichezesha

Walipiwe hotel na usafiri wanapokwenda kuchezesha mechi mkoani.

Hapo waamuzi wataipenda na kuheshimu ajira yake hiyo.
 
Basi Itakuwa Hii Semina Umeiona Kama Wameenda Kupokea Posho Tu.[emoji23]
Huo ndio ukweli

Hunter we unajua kabisa baadhi ya michezo inawazidi inakuwa ya presha sasa kuonesha mahaba ya waziwazi wanashindwa kujizuia

KUPATA SEMINA KAMA HII SIO GUARANTEE YA KUTOVURUNDA KATIKA MICHEZO YA LIGI, KAMA UNABISHA WEWE SUBIRIA MIEZI MICHACHE IJAYO MADA YA WAAMUZI KAMA HAIJAANZISHWA
 
Back
Top Bottom