Semina ya waamuzi wa NBC Premier League

Semina ya waamuzi wa NBC Premier League

Huo ndio ukweli

Hunter we unajua kabisa baadhi ya michezo inawazidi inakuwa ya presha sasa kuonesha mahaba ya waziwazi wanashindwa kujizuia

KUPATA SEMINA KAMA HII SIO GUARANTEE YA KUTOVURUNDA KATIKA MICHEZO YA LIGI, KAMA UNABISHA WEWE SUBIRIA MIEZI MICHACHE IJAYO MADA YA WAAMUZI KAMA HAIJAANZISHWA
Wanasema Mabadiliko Huja Taratibu Taratibu Ndio Kauli Zetu Za Matumaini.

Kiukweli Waamuzi Wana Changamoto.
 
GSM ANAFANYA NINI KWENYE HII BARUA NA INAJULIKANA ALISHAJIENGUA UDHAAMINI WENZA? AU NDIO MCHONGO
TFF bado haijatoa barua ya pili zaidi ya mwanzo ya kusema wamepokea kutoka GSM kujiondoa.

Labda mambo ya mchakato hayajakamilika?
 
Back
Top Bottom