Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Labda Itasaidia Kidogo Mkuu Tusivunjike Moyo Roma Haikujengwa Kwa Siku Moja.Hkn kiTu apa hawajui lolote kuhusu sheria za mpira wako tukutafuta chakul
Tusikate Tamaa Tuendelee Kuwa Na Imani.Wanapata Semina ila ni kama sikio la kufa...wanaambiwa sikio hili linatokea sikio jingine
Tatizo Usimba vs Uyanga vs Uazam ndio linasumbua
Hahahaha.Washenzi sana hao. Hakuna kitu hapo. Njaa tupu.
Lile jinga liloihujumu Yanga liko wapi?
Kuna lile la penalti ya mchongo dhidi ya Prisons na goal la mchongo dhidi ya Mbeya kwanza.
Hakuna haja ya semina. TFF waajiri waamuzi rasmi kwamba:-
Waamuzi Waache ajira zao walizonazo kama uaskari, ualimu.
TFF wawalipe mshahara wa 800,000/= kwa mechi moja akichezesha
Walipiwe hotel na usafiri wanapokwenda kuchezesha mechi mkoani.
Hapo waamuzi wataipenda na kuheshimu ajira yake hiyo.
sina imani na waamuzi wa bongoTusikate Tamaa Tuendelee Kuwa Na Imani.
Basi Itakuwa Hii Semina Umeiona Kama Wameenda Kupokea Posho Tu.[emoji23]sina imani na waamuzi wa bongo
Huo ndio ukweliBasi Itakuwa Hii Semina Umeiona Kama Wameenda Kupokea Posho Tu.[emoji23]
GSM ANAFANYA NINI KWENYE HII BARUA NA INAJULIKANA ALISHAJIENGUA UDHAAMINI WENZA? AU NDIO MCHONGOHabari,
Semina ya waamuzi wa NBC Premier League Tanzania Imeanza leo kama ambavyo ilivyoelekeza TFF. Semina hiyo itachukua siku tatu na hapa chini ni baadhi ya picha ya Matukio yanayoendelea kwenye semina hiyo.
View attachment 2120009View attachment 2120008