Habari watafutaji wa jukwaa naomba kufahamu kama kuna mtu anafahamu taasisi au kampuni inayohusika katika kutoa semina za mafunzo kazini za wafanyakazi wa ma bank kama, tellers, wahasibu, mapokezi, ma afisa mikopo n.k.
Iko moja naifahamu inaitwa AFFLUENCE TRAINING LTD na nimeshiriki semina zao, naomba anejua nyingine tafadhali, nipate mawasiliano yao na majina yao