TheThreatTr
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 339
- 13
Green World Limited Company, inapenda kuwatangazia watu wote kuwa tarehe 29/08/2015 Itaandaa seminar kubwa sana ya ujasiliamali BURE bila kiingilio chochote kile, na seminar hii itafanyika Kigamboni mahali BARACCUDA BEACH RESORT saa saba kamili mchana,......
Seminar hii itaendesha na Dr. Kilosa mtaarifu na mzoefu wa miaka mitano kwenye ujasiliamali Tanzania.
Jinsi ya kufika Baraccuda beach resort, popote pale ulipo, panda gari fika kivukoni, alafu vuka na kivuko hicho, ukifika ng'ambo ya pili tembea kidogo panda daradara za kwenda mji mwema ushuke kituo kinachoitwa maweni, hapo utakuwa umefika nitakupokea na kukukaribisha tayari kwa kupata seminar hiyo., kwa wale mtakaopanda bodaboda au bajaji utamwambia dreva akupeleke Baraccuda beach resort moja kwa moja....
Kwa mawasiliano, wasiliana na sisi kwa namba 0654158574/0765353056/0684974811.
KARIBUNI WOTE TUBADILISHE MAISHA YETU KWA PAMOJA.
ASANTENI SANA: