Senator Mutula Kilonzo (Makueni) dies

Senator Mutula Kilonzo (Makueni) dies

Dah sasa wale simba wake sijui nani atawalisha nyama,maake aliwapenda kama wanadamu,alikuwa akiwapa nyama huko wanadamu wakiwa hawana uwezo hata wa kupata githeri,pesa bana.

R.I.P Mutula
 
Mtula kalonzo aliyekuwa waziri wa sheria wakati wa uchaguzi mkuu kenya amefariki dunia mtula atakumbukwa kama mhitimu wa shahada ya kwanza ya sheria UDSM 1974,wakenya watamkumbuka kwa Mengi ikiwamo uundwaji wa katiba mpya
 
Kwani hakuwa na mke na watoto hapo nyumbani kwake,masikini Mutula huenda alihangaika sana kupata msaada,lakini kwa kuwa alikuwa peke yake huko ndani na walinzi wakiwa getini hakupata msaada,atakumbukwa kuwa ni Waziri pekee aliyemwambia Uhuru Kenyata akae pembeni kwani hastahili kuwa kiongozi kwa kuwa na kitanzi cha ICC,mzee wa watu kasononeshwa na maamuzi ya Wakenya,Mungu amulaze mahala pema Mutula sote twapita njia ,tupo kwenye foleni.
 
Dah, too sad. Rip Mutula. Na ile kesi ya uhuru ndo imefutwa... Dah
 
KIFO CHA MUTULA KILONZO SASA NI KILELE CHA UTITIRI WA VIFO TANGU 'SHAHIDI MWANAKIJIJI' HADI 'WAZIRI WA HAKI NA KATIBA' WALIOPATA AMA KUGUSA AU KUGUSWA NA KESI ZA ICC

Nilipata kumfahamu Mutula Kilonzo kama mwanasheria shupavu aliyependa sana kusema ukweli hata nani awe amesimama mbele yake.

Wakati huo huo alikua ni mwanasiasa machachari lakini mwenye nidhamu ya hali ya juu kwa viongozi wake ama wa chama au serikali alimradi tu hkuna yeyote atakaekua amevuka mistari yake mekundu (set of own distinguishing principles) aliyojiwekea katika maisha yake.

Yote juu ya yote, kiongozi huyu aliyepata kushika sana mafaili ya ICC kutokana na wadhifa aliokua nao, Mutula Kilonzo hakuondoka kwa kupenda sana katika wizara hiyo inayoendana na taaluma yake ya sheria ali
yoisomea hapa hapa UDSM ila ilibidi ahmie Wizara ya Elimu ambamo ametumikia hadi mauti ilipompata.

Kule katika wizara ya mwanzo kidogo msimamo wake ulionekana kuwa ni mkali kupindukia kwa kuonyesha kiu ya hali ya juu kutaka kuona waathirika wa machafuko ya 2007 wanapata haki bila kujali kabila wanakotoka.

Kwa wale waliopata kumfahamu Mutula Kilonzo na asivyoambilika kitu chochote kile when it comes to DEFENDING JUSTICE, they would unanimously nod in approval that it is exactly this type of uncompromisable stance that largely formed the bottomline that eloquently defined his person and professionalistic conservatism throughout his life as a distinguished attorney.

Hakika namlilia Mutula Kilonzo huku nikisema sala za kheri kwake na pumziko ya milele umjalie e Bwana; Amina.

Alisema hata akina UhuRuto wakishinda na akifanikiwa kuwa seneta atawa impeach kupitia seneti,Mutula alikuwa si mtu wa kununuliwa au kubusu miguu wakubwa na wahuni fulani,aliamini kijiko ni kijiko na si vingenevyo,alikuwa si kama wachumia tumbo akina Miguna Miguna,Eugene Wamwala,MaDvD
 
With these few remarks, we can conclude... the death of Mutula Kilonzo was.................................So sad, sad indeed!! All wil disappear!! In any how!! Poleni wakenya.
 
Kauwawa tu huyu hakuna kingine hapo,na itachukuwa muda sana kung'amua nani alimuua kwa serikali hii jubilee madarakani,lakini yana mwisho haya.
 
Kethi Kilonzo tunakupa pole sana kufiwa na Dad wako ambaye hopeful ame ku mentor hadi kufikia level ya umahiri ulio nao katika sheria. R.I.P Mutula na tunawapa pole wakenya woote
 
Kauwawa tu huyu hakuna kingine hapo,na itachukuwa muda sana kung'amua nani alimuua kwa serikali hii jubilee madarakani,lakini yana mwisho haya.

yuko wapi ule jamaa wa paruwanja na jaramandia asaidie kufanya uchunguzi kilichomuua. Wale wanasiasa wenzake walifika pale mapema baada ya kifo chake, kufanya matumaini ya kuchunguzi kuwa ngumu.

hivi kalonzo amepata mpenyo kuingia katika useneta makueni nilishasema, wanasiasa kuvuka mpaka na kuingia tanzania kupata hirizi mablimbali ina mathara yake, hii ni dhihirisho. wananchi na wengine walirindima maneno dhidi ya kalonzo kurudi bungeni lakini kalonzo kutumia madawa ya kienyeji ilibidi mutula amuondokee kalonzo kirahisi bila mvutano

jamanini tuaelekea wapi kama taifa?

loooo!
 
Not natural death at all. Circumstantial evidence is leading to poisoning; question is, who is behind this. So many conspiracy theories so far. One is that Harun Mwau could be behind it. For those who follow up Kenyan politics, you may already know that Mwau is one of the African drug barons on the Obama's list. He once told Mutula during the campaigns that he would make sure he does not sit on the Senator's seat even if he wins. They were competitors for the senatorial post.
The second theory is that after Saitoti, it's Mutula who had a lot of evidence on the ICC case. You may recall his stand about the eligibility of Uhuru and Ruto!!! Anyway, this is Kenyan politics. R.I.P Hon. Mutula
 
Sasa ile kesi ya Uhuruto itakuwa imechinjiwa baharini ama kweli siasa ni mchezo mchafu.
 
Back
Top Bottom