Senators wa US kuwaweka kitimoto ujumbe wa Tanzania mubashara kupitia CNN?

Senators wa US kuwaweka kitimoto ujumbe wa Tanzania mubashara kupitia CNN?

Hivi huwa mnawaza duniani kila mtu yuko interested na mambo ya tanzania?
Kuna mataifa hayana habari na mengine hayajali kama kuna raia waliuawa mnamo mwaka 2026 kwenye kugombea urais. Dunia ni zaidi ya muijuavyo.

Kalamu
Ila kila mtu timamu anajali kuhusu MAZUZU waua watu.

Ndio maana Urais wa huyu bibi wamekataa kuutambua.
 
Ni nani huyo kasema dunia nzima inatakiwa ijuwe habari za Tanzania?

Inakuwaje unaniita kwenye jambo ambalo siku zote napingana nalo; ninaposema wewe unageuka na kuwa chizi kweli utanilalamikia?
Kuna rekodi za mimi kulalamika kuitwa chizi? HAKUNA
In fact jina Chizi ni understatement , tafuta jina baya zaidi.
 
Kuna rekodi za mimi kulalamika kuitwa chizi? HAKUNA
In fact jina Chizi ni understatement , tafuta jina baya zaidi.
Mimi sikuiti wewe chizi kirahisi tu; kwamba hutaelewa lengo lake ni nini.
Ukiwa na akili nzuri hukosi kujuwa lengo lake ni nini; hilo ndilo la msingi.
 
Ikiwa Maseneta wa Marekani watakaowahoji ujumbe wa Tanzania wataamua mahojiano hayo yawe mubashara kupitia CNN kuhusu Tanzania, kwa lugha pendwa ya Kiingereza, Wakielekeza hoja zao katika maeneo ya Hali ya demokrasia na uchaguzi wa Tanzania na Tuhuma za ukiukwaji wa haki za binadamu baada ya uchaguzi wa 2025.

Je, Tutegemee mahojiano hayo kurushwa mubashara kupitia CNN, BBC, DW, AL JAZEERA...????

Kwa sasa, Maseneta Jeanne Shaheen na Ted Cruz wamewasilisha muswada unaotaka tathmini upya ya mahusiano ya Marekani na Tanzania na unaoruhusu hatua za vikwazo dhidi ya watu watakaobainika kuhusika na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Hata hivyo, muswada huo bado haujawa sheria.
Tukatae, wasitupangie lugha sisi ni nchi huru na tunayo lugha yetu ambayo ni adhimu duniani.
 
Thubuutu: Itakuwaje ilhali NoA (Nights Out Allowances) wanazisaka kwa udi na uvumba??
Mbona majibu hapo ni rahisi sana -endapo wataulizwa wao waseme:
Awali waombe idhini ya kutumia Lugha ya Bongo na la; wakikataliwa basi wajing'ateng'ate hivo-hivo.
1. Kuhusu Demokrasia waseme nchi ina mkakati endelevu wa kuapanua wigo wa kidemokrasia na Mataifa mengine:Agakakskagesh:
2. Wakuilizwa hoja za uchaguzi wao waseme au wajibu: uchaguzi ulifanyika kama ulivyopangwa.:BLAAP::AwkwardFlushed:
3. Kuhusu Haki za Binadamu wao waseme tuu " Who are u":DESKCHAN:
🤣 🤣 🤣
 
Mimi nafurahi sana kuitwa chizi. So call me that more often, bro
Usiwe na shaka yoyote; nikiona kuna kilichoandikwa kikiwa na mwelekeo huo, sisiti hata mara moja kukufahamisha.

HEBU KWANZA: Unajuwa tumeanzia wapi na jinsi unavyoonekana kubadilika?
Wewe ni kinyonga?

Nimemalizana nawe.
 
Usiwe na shaka yoyote; nikiona kuna kilichoandikwa kikiwa na mwelekeo huo, sisiti hata mara moja kukufahamisha.

HEBU KWANZA: Unajuwa tumeanzia wapi na jinsi unavyoonekana kubadilika?
Wewe ni kinyonga?

Nimemalizana nawe.
Onyo usichukulie serious sana ninayoyaandika hapa Jf.
 
Back
Top Bottom