Senators wa US kuwaweka kitimoto ujumbe wa Tanzania mubashara kupitia CNN?

Hivi huwa mnawaza duniani kila mtu yuko interested na mambo ya tanzania?
Kuna mataifa hayana habari na mengine hayajali kama kuna raia waliuawa mnamo mwaka 2026 kwenye kugombea urais. Dunia ni zaidi ya muijuavyo.

Kalamu
Ila kila mtu timamu anajali kuhusu MAZUZU waua watu.

Ndio maana Urais wa huyu bibi wamekataa kuutambua.
 
Ni nani huyo kasema dunia nzima inatakiwa ijuwe habari za Tanzania?

Inakuwaje unaniita kwenye jambo ambalo siku zote napingana nalo; ninaposema wewe unageuka na kuwa chizi kweli utanilalamikia?
Kuna rekodi za mimi kulalamika kuitwa chizi? HAKUNA
In fact jina Chizi ni understatement , tafuta jina baya zaidi.
 
Kuna rekodi za mimi kulalamika kuitwa chizi? HAKUNA
In fact jina Chizi ni understatement , tafuta jina baya zaidi.
Mimi sikuiti wewe chizi kirahisi tu; kwamba hutaelewa lengo lake ni nini.
Ukiwa na akili nzuri hukosi kujuwa lengo lake ni nini; hilo ndilo la msingi.
 
Tukatae, wasitupangie lugha sisi ni nchi huru na tunayo lugha yetu ambayo ni adhimu duniani.
 
🤣 🤣 🤣
 
Mimi nafurahi sana kuitwa chizi. So call me that more often, bro
Usiwe na shaka yoyote; nikiona kuna kilichoandikwa kikiwa na mwelekeo huo, sisiti hata mara moja kukufahamisha.

HEBU KWANZA: Unajuwa tumeanzia wapi na jinsi unavyoonekana kubadilika?
Wewe ni kinyonga?

Nimemalizana nawe.
 
Onyo usichukulie serious sana ninayoyaandika hapa Jf.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…