Roboti Wa Nape
JF-Expert Member
- Nov 20, 2023
- 1,174
- 2,876
Kitu hiki hufanyaga sana mke wangu. Huwabebea watoto wake msosi wa kutoka harusini. Huleta msisimko kwa watoto.Mimi mama angu alikua hawezi toka harusini aja niletea ata paja la kuku au soda.💥Best feeling ever sio kwamba hawezi nunua ila ni basi na sisi tuwe tume onja vya harusini
Wachaga wanapenda kujulikana sana mkuu unawezakuta wamechanga hizohela jpili hawana hata hela za nyama...kisa waonekane kwa grp wamechangaUngewakumbusha tumbo hali ridhiki hata wangebeba vyote kungekucha wakatafuta tena chakula
Kama unaweza kuchanga laki mbili basi unaweza kula chochote unachotaka nje ya ukumbi kwa kununua hakuna haja ya kuiba chakula uondoke nacho
Huyo ni kigogo uchwara kama sio kigogo masikini!Habari za asubuhi wapendwa
Leo ni siku ya Jumamosi ingawa sijachelewa na pengine una kadi za harusi kadhaa zingatia haya
Ukumbuke kadi za harusi kwenda harusini
Ukienda harusini hakikisha umekula ila usishibe
Hakikisha umekunywa ila usivimbiwe ukavimbiwe harusini
Mkiona vinywaji vingi kila aina hakikisha unakunywa unachostahili usiaibike
Ukiona chakula kila aina na mnaulizwa mwende mkarudie, Kula kinachostahili
Shetani asikuingie ukaenda nje kutafuta mfuko utaaibika.
Majuzi nilihudhuria sherehe ya sendoff ya mtoto wa kigogo mmoja. Alinifurahisha sana aliwaonyesha jamaa na marafiki kizuri gharama
Wapo waliochanga mamilioni wakapewa mpaka na ndafu kadhaa kama 30
Sasa kuna group hili ndilo lilonichekesha. Wakati natoka nikashangaa mbona tuko kwenye foleni, kuangalia kwa mbele naona jamaa wana mashine za kusachi kama tuko JNIA. Hapo ni saa nane usiku.
Ghafla naona wamama, wadada kwa wababa wanarudi kwenye meza ghafla nikasema kuna nini.
Kuangalia naona watu wanambiwa kama una kinywaji mfukoni kwenye mfuko, Koti tafadhali rudi kwenye siti yako hakikisha umemaliza vyote.
Hakuna atakayeruhusiwa kuondoka na kinywaji chochote hapa getini, mimi nikapita getini nasubiri niliowaleta
Ghafla napigiwa na jamaa niliowaleta, kaka hawa washenzi wametuzuia huku kutoka na vinywaji na tumetoa laki 3 kila mtu
Hahaha nikawambia mimi sijawahi zoea sherehe za vinywaji na ma vyakula ovyo lazima mngejiongeza.
Hahaa mmoja akasema tumeweka kwenye chupa za maji wine zote tunaelekea chooni kuvimwaga
Loh mwingine akapiga kaka nimejaza Hennesy kwa chupa naelekea chooni kumwaga zote.
Kifupi, Sio tu Mlimani city halls popote pale ukienda harusini hakikisha umekula ndugu umekula kama una kinywaji kunywa
Usizoee sana misosi na vinywaji vya harusini utaaibika.
Toka enzi hizo Tena Bora sasaSijawahi kuulewa mwandiko wako aisee
Wabongo tuna matatizo ya akili aiseeMkuuu mlimanicity
Sio pa kuchezea sherehe nyingi unakuta kuna kampuni imepewa kusimamia watu wanywe wale walewe washibe kuondoka na vinywaji nyooooo
Hii n sherehe ya 4 nahisi wengi hawakuwa na exp na wamevaa sare za kampuni za ulinzi weweeeeeeeeeeee....
Mwakajana jamaa yangu mmoja alitokaa na hennesy 4 mdada akamzuia nkawa nina exp nkamshikisha 10 zikapita......
Ukijipanga kupita na mzigo weka kumi.moononi alafu uwe na mifuko miwili
Mmoja weka maji na alfu 10 mwingine vinhwaji vya ukweli
Ukifika mpe mfuko wa maji wenye buku.kumi anakwambia nenda anabaki naoo
Hakikisha una pombe za gharama sio upuuzi wa savannahs flying meet sijui fish woi
.....hakikisha umeoga na majiya chumvimawe sikuhioo
unaweza kutana na kiwavimtu hata hio kumi apokei akapita na mfuko wa hela na vyupa vyakooo
Hajaona uzi wako wa mtu anayekuwa single mother muda si mrefu, umetuasa tutumie kinga.Jidanganye
Yaaan nikiumiaaa kitu kimojaaaaKwahy mtu amechanga maybe 100k afu unaenda kupigizana kelele kisa pombe za 20k 😂 dah
Wabongo tuna upumbavu mno mkuu, yn mtu yupo tayari kuumizana kichwa kisa juisi ya embe afu baadae anaenda kuikojoa, namshukuru Mungu Mm sina utajiri n masikini tuu ila sijawahi kuwa na upumbavu huo nikienda kwenye sherehe yoyote ile.Hizi aibu ndogo ndogo zinipitie mbali kwa kweli, unaweza jikuta mitandaoni kisa juice ya embe
Dah aisee mm nashukuru Mungu sijawahi kuwa kwenye huu upuuziYaaan nikiumiaaa kitu kimojaaaa
Walee wa pombe kalii hakikaa ningekuwa na wajua wangepita nazoooo
Lakini wengi unakuta wanamfuko umejaa savannahs 10
Flan fish 10
Flying meet 10
Safari takeaway 12
Za nn hizi
Beba pombe kalii za beii kubwa hata mtu akitakataa kukuteteaaaa anakuwa na nguvuu
Kiufupi angalien
Mjipange kikubwa kulen kabla ya harusi
Kunywen kabla ya harusi hata bia 2 tu nenda ndani
Mkuu umasikini n laana usikiriii hilooWabongo tuna upumbavu mno mkuu, yn mtu yupo tayari kuumizana kichwa kisa juisi ya embe afu baadae anaenda kuikojoa, namshukuru Mungu Mm sina utajiri n masikini tuu ila sijawahi kuwa na upumbavu huo nikienda kwenye sherehe yoyote ile.